Mchepuko unanilazimisha nisherehekee naye katika sikukuu ya Chrismass

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
29,511
40,601
Mchepuko unanilazimisha nisherehekee naye katika sikukuu ya chrismass
Sikukuu zote nimezoea kusherehekea na mke wangu pamoja na watoto,kwa kipindi hiki mchepuko ananipa mahaba yote na kunilazimisha niwe naye pamoja katika kusherehekea.

Hapa nipo njia panda sijui nifanyeje wakuu...ndoa yangu naipenda na mchepuko nampenda pia kutokana na mnato alionao.

Wakuu mnanishaurije?
 
KingY,
Wakionana itakuwa shida,pia watoto huwa wananiganda sana....hapa najaribu kumpa appointment angalau mwaka mpya niwe naye.
 
Back
Top Bottom