Juzi juzi nlikuwa mahali flani hivi nimesimama, akatokea mdada mmoja, simfahamu wala yeye hanifahamu, alikuwa amesimama umbali wa kama hatua 10 hivi kutoka nilipo, nlimuona na yeye aliniona, alivoniona tu..baada ya mda mfupi akaja direction ambayo mm nipo, aliponipita alinigusa mkono, as if ni bahati mbaya, ila mm kichwani nikajua huyu mdada itakuwa kanigusa makusudi..mm nlikuwa naangalia zangu pembeni, ile kuangalia upande wa kushoto kwangu, naona huyo mdada yuko karibu yangu amesimama, haongei chochote, anaishia tu kujigusa gusa nywele.
Kama mwanaume nlijua kitu nachotakiwa kufanya, ila tatizo mdada alikuwa hana chura, hakunivutia kabisa, kwahiyo nikampotezea, sikumsalimia kabisa, baada ya kumwona amesimama karibu yangu, nliondoka eneo alilopo..nliona nkimsemesha ntapoteza tu mda