Kwa hizi sintofahamu zilizoko nchini nyie ndugu zangu mnawezaje kuongea Mambo ya kunyanduana na kuhusiana?
Me mwenzenu mood imekata kabisa.
Naachoooka Mimi mke wa Clemence Mwandambo
Katika pitapita zangu za Krismasi, nilijikuta huko Mbezi kwa ndugu nikiwa nasubiri sinia la pilau na nyama ya sungura. Mazungumzo ya hapa na pale yakazua skendo inayotikisa mtaa: Jamaa mmoja...
Ipo hivi Nina rafiki yangu wa karibu sana, tunashirikiana mambo mengi sana , ukaribu wetu umefanya familia zetu pia ziwe karibu . Hii linafanya hata yanapotokea matatizo ya ndoa kwangu au kwake...
Zamani nilivyokua naishi msela nilikua naona jambo la kawaida tu ila baada ya kuoa naona tabu sana kulala mwenyewe , yaani wife akisafiri siku tatu au wiki naona kama mwaka.
Nishazoea kushtua na...
Kwa uchache bila kuwachosha, nawakumbusha wanawake ni kosa kubwa Kuosha Sambusa takatifu kwa kutumia sabuni.
Amini usiamini ila Sambusa ikishazoea kuoshwa kwa sabuni ni hatari, inatoa harufu ya...
Back to the topic, ile kauli ya usishindane na ulikotoka yamenikuta wakuu.
Jana niliingia lodge na single mother mmoja. Huyu huwa nishawahi mlaga kama mara mbili hivi huko nyuma, najua huwa...
Habari, nimekuja kuwauliza kwa niaba ya rafiki yangu ambae kesho anafungana ndoa ila kichwani anawaza sana akae siku ngapi baada ya kufunga ndoa ndipo afanye tendo na mke wake?
Nimemwambia...
Habari wakuu,
Niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu...
Jamani ukweli acheni na usemwe, kama Kuna watoto ambao hawana maadili huko mtaani basi kabisa ijulikane ni watoto ambao...
Natumaini mkopoa?
Katika piatapita zangu nikakutana na mada Kwamba mwanamke kama hujawahi kuolewa bas usikubali kuolewa na mtu ambae alishawahi kuoa ama Kuishi na mwanamke Yani hata wale...
1. SLEEPOVER
Hii inamaanisha mtu kwenda kulala kwa mpenzi wake. Ingekuwa ni kulala tu kusingekuwa na tatizo ila sleepover inajumuisha na ngono usiku kucha l.
2. ONE NIGHT STAND
Hii ni ngono ya...
Dume rijali la JF naja kwenu dah mwenzenuu, ndoa yangu miaka 7 mke wangu kamganda Mume wa mtu!
Mwaka jana niligundua kuwa mke wangu kuna mwanaume anamahusiano naye, ni baba mtu mzima na wanafanya...
Habari madogo mnaotaka kuoa.
Ikiwa wewe kijana bado unajitafuta na Maisha kamwe usifikirie swala la kuoa kabisa.
Hakikisha upo Sawa kiuchumi angalau yaani swala la pesa ya kila siku na mahitaji...
Mapenzi ni matamu sana ukipata anayekupenda na kujali hisia zako.
Embu tupunguze kidogo haya mawazo ya nchi yetu maana yamekuwa mengi tulifreshi akili kwa mambo matamu na mazuri ya kimahaba...
Hamjambo Wote!
Mwanaume were ndiye Mfalme, ndiye Rais, ndiye Mtawala wa Familia yako.
Chochote kitakachotokea kwenye Familia yako wewe ndio mtu wa Kwanza kuwa responsible, na lawama zote zipo...
Hii njia ni rahisi sana
Tengeneza chati za uongo au za ukweli kama unachati na mwanamke
Kisha tengeneza ugomvi naye halafu mtumie
Kitakachofwata atakutumia za kwake za ukweli
Hapa utaamua...
Nmekumbuka tu mara 3 kwa wanawake watatu tofauti wasanii ambao nimewahi kuwala.
Mmoja huyu kwa sasa anaolewa olewa na kuachika yeye nlimla kipindi hicho kwa tsh 600,000 mpaka asubuhi. Ingawa...
Mambo yakiwa mazuri hukimbilia talaka kugawana mali (Lengo la ndoa lilikuwa ni kuchuma mali)
Kukimbia ndoa wakiona mambo yamekuwa magumu kiuchumi (Pesa hupewa kipaumbele kuzidi ndao)
Hizi pisi ukifika 30 unaweza kuzipata kwa urahisi sana, ni kama vile hata hutongozi maana una uzoefu mkubwa tayari wa maisha kiujumla
Hata wanawake unakuwa na uwezo mkubwa kuwamudu, ukimhitaji...
Hapa wengi Leo nitawashangaza Kuna Mdau kauliza huku. Hivi mliooa mlipata wapi Wanawake wa Kuoa?
Ni swali ambalo mwanaume ambaye hajaoa anaweza kulichukulia poaaa poaa kabisa.
Ukweli ni huo, na...
Nakaa naangalia video za vituko vya kushangaza vya mke wa "pastor" Tony Kapola..
Simuoni Mungu ndani yake
Sioni uchaji wa kiroho
Sioni unyenyekevu wa kiimani
Sioni kujishusha, kutubu na kujirudi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.