Hakuna mtu atakwambia kila kitu ili ufanikiwe

Hakuna mtu atakwambia kila kitu ili ufanikiwe

Choosen85

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2022
Posts
2,336
Reaction score
5,668
Wasalaam wakuu na waungwana wote, kheri kheri TANGANYIKA nchi yetu....
miaka kadhaa nyuma kuna bro mmoja alikuwa anapga sn hela kwa kutengeneza kitu fulan ksha anawapa vijana kwenda kuuza.
Nikavutiwa na mimi kutengeneza nikumalika home aje anielekeze pia kudadisi faida na hasara za kazi iyo akanipa facts kadhaa kwamba inalipa, sa formula ya kutengeneza nliitaji msaada wake, kweli alikuja kunielekeza nikiwa na material yote nlipokuja tengeneza ilikuwa ni kchekesho, nkamfata kumuuliza akadai atakuja kujua tatzo nn aisee hakuja tena, ikabd nipambane nikaingia chmbo kutafuta formula, nikapata kwa watu kadhaa nikagundua kuna kmoja hakunambia nlikuja kwa bora sn baadae nikamfunika mpk yule bro. NINAMAANISHA KWAMBA CODE ZA KUTOBOA UKIULIZA MTU ALIYEFANIKIWA HAWEZI KWAMBIA KILA KTU, KUNA VITU ATAPNDISHA TU utajiri ni siri na siri ni utajiri.
 
Ni kweli ni kama ww tu hapo unafanya Siri hata kuitaja hiyo bizness
 
Back
Top Bottom