Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kabla ya yote tunaomba kujua hilo kabila la pili ni lipi? Japo Kabila hilo nimelisahau ila nakumbuka niliambiwa linapatikana Tanga. Baada ya kulifahamu kabila hilo, naomba kujua kihistoria au ni...
2 Reactions
130 Replies
51K Views
Kuna jirani yangu bana tuko nae hapa mbezi mwisho, huyu jamaa naweza kusema ni muoga sio poa. Kama mnavyokumbuka mbezi mwisho ilikua ni uwanja wa vita wakati wa maandamano. Sasa jamaa akawa...
10 Reactions
44 Replies
2K Views
Kuna watu wanawawaonea Warangi, Wanyanturu, Wanyiramba eti ni maharage ya Mbeya. Ushakutana na Wakenya wa Nairobi wewe? Ukimuomba Mkenya kududuana akakataa au akakuzungusha zaidi ya siku tatu...
5 Reactions
62 Replies
3K Views
Wakuu, mambo salama!? Kazi ndiyo utu, hivyo niwapongeze na majukumu yenu mnayoendelea nayo. Kuna suala ambalo siku ya juzi (Jumanne) nimekutana nalo kwa mara ya 5 hivi, na nikaamua kulidodosa...
79 Reactions
200 Replies
8K Views
Kuna rafiki yangu kanilalamikia sana leo, anasema ana mwanamke alimtongoza na wana miezi kama saba hivi. Kila akimpanga kuja geto anatafuta visingizio ila jamaa anajitoa sana kwa mwanamke...
7 Reactions
37 Replies
2K Views
NapitIa wakati mgumu sana nahisi dunia imenielemea Mpenzi wangu ambae nilipambana kwa ajili yake anaolewa na in charge wangu ni captain Mimi ni nyota 1 tupo kambi moja inaumiza sana nimetoka nae...
15 Reactions
118 Replies
4K Views
NAULIZA JE NI SAHIHI MIMI KUOA BINTI KUTOKA KWA FAMILIA YENYE UKARIBU NASI? Wajomba na mamshangazi habari ya Asubuhi, naomba niende moja kwa moja...!! Mimi nimezaliwa na Kuishi Dar ila nina...
8 Reactions
115 Replies
3K Views
Wakuu samahani nikifanya mapenzi na mwanamke nasikia raha itakua tatizo gani?
-1 Reactions
47 Replies
2K Views
Leo kama zilivyo siku nyingi natumiaga pia usafiri wa umma. Leo nikapanda daladala za mlandizi wakati mimi natelemkia katikati kabla ya kufika mpaka wa Dar na Kibaha. Si unajua kwa mtu...
8 Reactions
57 Replies
2K Views
Wenye lugha yao wanasema Happy Hump Day... Happy Hump Day to you all JF, Kasie loves you mingi. Ohh itawezekanaje kufanya mapenzi pasipo na fikira Heri niwe peke yangu, heri niwe peke yangu...
6 Reactions
18 Replies
3K Views
Abariza kweni waungwanaa Kuna ilijambo,sasa i do' know km watu wanafanya kusudi or not Yaan ipo ivii, mkishatongozana na kukubaliana,marufuku kuoneana haya.. We mwanaume mwili wako huna ihuru...
4 Reactions
26 Replies
982 Views
Wadau, Nimekuja kugundua nilikosea kuoa baada ya kukaa kwenye ndoa miaka 15 na kupata watoto wanne. Dah nilijichanganya nikaoa a Corporate lady ambaye alikuwa mwanasheria kule Arusha, alikuwa...
280 Reactions
3K Replies
294K Views
Mwanadada Regina Daniels(21) asherehekea mume wake huyo Ned Nwoko(61) kumtumia zawadi ya Xmas dola $50,000 ambazo ni zaidi ya milioni 115 za Kibongo. Mrembo huyo ambaye ni mwigizaji maarufu...
13 Reactions
90 Replies
51K Views
Mara ooh sins chapaa mtoto mzuri awezi nikubali,mara ooh sina kitu Hebu acha nitoe ushuhuda wangu binafsi.mimi kuna time sikuwa naela, nilikuwa na life gumu kidogo Nilipata offers nyingi kuotka...
7 Reactions
48 Replies
1K Views
A guy unamkuta ana nyumba, ana usafiri, ana biashara yake na kazi yenye kipato kizuri. All of this umekuta ameaccomplish mwenyewe bila ya wewe. Then unakuwa attracted na this type of a guy na...
36 Reactions
211 Replies
16K Views
Shikamooni wakubwa, Kwanza nishangae, Kwanini watu hawaamini,na hawaaminiki. Yaani nilichogundua humu watu wengi ni waongo,tena waongo sana,na ndomana wanahisi kila mtu ni muongo kama wao...
36 Reactions
370 Replies
10K Views
Anyo-Ashi-Mikaaa! Nakumbuka ni kama miaka 5 nyuma, rafiki yangu ambaye alikuwa classmate wangu alinipa clue kuhusu JF kwa mara ya kwanza... akasema ni jukwaa la ajabu sana. Akanieleza kuna mtu...
36 Reactions
82 Replies
5K Views
Hellow Nilimuonaga mdada mmoja huko kwenye mahangaiko kwenye kasemina fulani ila tupo nae sehemu ila sasa ni mgumu balaa yapata mwaka sasa tangu numtongeze ila jibu sipewe nazungushwa na nina...
19 Reactions
227 Replies
7K Views
Vikiwa vimetanuka (vimeacha nafasi kubwa kati ya Kidole na Kidole) jua ya kwamba....... Una Mke au Mchumba au Mpenzi ambaye HAJATULIA, HATOTULIA katika Mahusiano yenu na MTASUMBUANA 24/7 Vikiwa...
10 Reactions
93 Replies
5K Views
Poleni kwa jf kufungiwa. Kuna utafiti nimekua nikiufanya,nimegundua wanawake wengi huwa wanapenda kunyonya sehemu za siri za wanaume. Sasa huruma yangu ni hii,mwanamke let's say ni mke wa mtu...
5 Reactions
53 Replies
3K Views
Back
Top Bottom