Hili ni jambo ambalo watu wengi wanaogopa kulizungumzia lakini ni tatizo kubwa, kwenye magroup ya maisha ya ndoa kuna post nyingi (Kwa ID za kujificha) wanawake hulalamika waume zao kukosa hisia...
Mimi ni kijana umri 36, nina elimu ya college, sijawahi kuoa na sina mtoto, napatikana Dar.
Natafuta rafiki wa kike umri 30-34, awe na elimu angalau form 4, asiwe amewahi kuolewa, kama ana mtoto...
Mainda Mhando, Mwananchi mmhando@gmail.com
Dodoma. Mahakama imemuachia huru mtuhumiwa wa kesi ya mauaji ya mpenzi wake, Helena Sambo (52) ambaye aliieleza mahakama 'utundu' wake kwenye tendo la...
Hello guys,
Yaani leo acha niwape maua yao watu wenye sauti nzito, hawa watu ni special, wananifurahisha wakiongea, sichoki kuwasikiliza, imagine mtu mwenye sauti nzito akiongea akiwa ametoka...
Hakuna andiko lolote kwenye Biblia limeandika usioe wake wengi ila Biblia inakataza kuchukua mke wa mtu . Ni ruksa kuoa wake wengi kadiri ya uwezo wako sharti ni moja tu uhudumie
Soma kwa umakini...
Salaam wakuu,
Mada hapo juu yahusika...basi bana baada ya kukaa America miaka miwili kasoro nilirud nyumbani kuona familia, ikumbukwe toka kipindi chote hicho mimi na wife tumekuwa tukiongea sana...
Mmekuwa na lawama nyingi mara hatuwezi kazi, mara haujafika kileleni.
Mara nyingi hampo open na hili sio tatizo lenu ni malezi ya jamii. Hapa hamjulikani tuambiane kipi mnafanya tu kwenye sex...
Vimiaka vyangu kadhaa katika mapenzi nimekuja na uzoefu ufuatao..
Mosi: Hakuna haki kwenye mapenzi,, the game is too brutal sometimes.
2,, Kuwa single ni level fulani ya uhayawani so avoid being...
To Her Majesty Queen Elizabeth II,
I hope you are in good health, my dear Queen. I am writing to offer myself as your husband. I have heard that you are a very beautiful woman and a strong...
Kama unampenda wewe mpende tu, hatukukatazi ni maamuzi yako. Ila jua kwamba kuamua kuishi na mwanamke mwenye mtoto kunakuhitaji utayari wa kisaikolojia, busara na akili pana sana.
Mtoto wa mzazi...
Ndio, sio mahusiano ya kimapenzi, tunapeana kampan tu tukitoka kurelax, of course na kusaidiana upwiru wa hapa na pale.
Ukiwa unakunywa pombe itapendeza zaidi, ukiwa na tattoos pia ni bomba sana...
Kwani Mshangazi una sifa Zipi ?
Jamii ya leo inazidi kushuhudia mahusiano yasiyo ya kawaida: vijana wa kiume wakiwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na wanawake wakubwa kiumri — mara nyingi wakiwa...
Najua kuwa kabila halina mchango sana kwenye masuala ya ndoa, lakini kutokana na kuwa watanzania wengi sio watembeaji sana na wanapenda kufuata mila zao, mfano wachaga, kila mwezi wa 12 hawaachi...
I hope everyone is doing well.
Mie ni mwanaume, 30 years. Nilipomaliza chuo nilipambana Ili kujenga uchumi wangu,,sahivi namshukuri Mungu maisha yanasonga.
Kwa Sasa nataka kuoa ila mpenzi...
I hope mkopoa mnaendelea na majukumu
Leo siku muhimu sana kwenu wanaume
Kwanza tunawashukuru sana kwa kuwa watu wema na wasimamizi wazuri kwa familia,kuna.namna mambo huwa ni magumu sana lakini...
Habarini,
Wanaume, katika harakati za kutongoza unakutana na mdada, unamtongoza, anaonesha kuwa kakubali, ila mkiwa kwenye story ukigusia swala la mzigo anakwambia sex ni hadi ndoa..au atakuuliza...
Kwa hizi sintofahamu zilizoko nchini nyie ndugu zangu mnawezaje kuongea Mambo ya kunyanduana na kuhusiana?
Me mwenzenu mood imekata kabisa.
Naachoooka Mimi mke wa Clemence Mwandambo
Katika pitapita zangu za Krismasi, nilijikuta huko Mbezi kwa ndugu nikiwa nasubiri sinia la pilau na nyama ya sungura. Mazungumzo ya hapa na pale yakazua skendo inayotikisa mtaa: Jamaa mmoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.