Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nipo kwenye ndoa huu mwaka wa sita na nilioa single mother ila kwa yanayoendelea najikuta nipo kwenye wakati mgumu sana wa kimaamuzi juu ya mustakabari wa ndoa yangu KABLA YA NDOA Mwanamke...
31 Reactions
262 Replies
11K Views
Labda nikufafanulie kidogo. Niko kwenye mahusiano na wanaume wawili: mmoja ni kijana kama mimi, ana miaka 27, na mimi nina miaka 24. Anaishi kwao, na baba yake ni mtu mwenye pesa sana, hivyo...
10 Reactions
100 Replies
5K Views
Kila kitu kipo kwa sababu, watu wapo kwenye uhusiano wa kimapenzi kwa sababu mbalimbali zinazoeleweka kabisa kama kujenga familia nk. Sasa kwa nyinyi mlio single Nipe Sababu ya msingi kabisa kwa...
14 Reactions
222 Replies
9K Views
Hawa ni wanawake wenye kiwango kikubwa cha elimu, fedha, umaarufu au hata madaraka katika jamii. Hoja ya wanaume wenye mawazo haya ni ugumu wa kuwaongoza wanawake wanaowazidi. “Mwanawake akipata...
14 Reactions
68 Replies
3K Views
Mwanangu rapcha umeimba hili goma leo ndo nimejua kuwa wanawake ni watu wa ajabu mno can you imagine leo ni siku ya 11 wife ananinyima tendo la ndoa bila sababu ya msingi. Sasa leo nimeamua...
26 Reactions
156 Replies
9K Views
Salamu wakuu. Hii kitu nashindwa kuelewa Anampanga demu mida flani njoo geto demu anaitikia Mwisho wa siku unashangaa amekuja na marafiki zake na hao marafiki zake na wao wanakuja na marafiki...
13 Reactions
76 Replies
4K Views
Awali ya yote, ningenda kumpongeza Dr Samia Suluhu kwa kuendesha Kampeni za kistaarabu. Mama wa watu hatukani mtu wala hatwezi utu wa mtu. Tuje kwenye point ndugu zangu watanzania wenzangu, siku...
9 Reactions
93 Replies
4K Views
Sijui nisemaje lakini you people mmenishangaza sana, Always humu huwa nahisigi kuna watu flani hivi sijui nisemaje lakini mnisamehe nilivyokuwa nawawazia sivyo,. First of all mie ni mtu ambaye...
57 Reactions
130 Replies
5K Views
Kikao kimeanza, Karibuni kwa kuchangia hoja na mada mezani ni kero gani huwa unakumbana nayo wakati wa sex
3 Reactions
33 Replies
2K Views
Ndiyo! Nakukumbusha wewe, ulipokuwa mdogo uliona kama baba yako anakunyima Hela😅😅 sasa ni zamu yako kuzitafuta, Unaionaje Hali? Ukiombwa Hela Unaitoa Kirahisi?
17 Reactions
42 Replies
2K Views
Naomba nisieleweke vibaya ama nikaonekana nina ubaguzi na hii jinsia yakike kutokana na maoni yangu!, ikiwa kuna mtu nitamkwaza kwa hii mada basi tusameheane!. Kitu kinachoitwa uongozi na...
5 Reactions
21 Replies
972 Views
Kulikuwa na kijana mmoja mnyenyekevu mwenye moyo wa upendo na kujali. Alikutana na mwanamke aliyekuwa akifanya kazi Saudia. Kwa maneno, mwanamke huyo alionekana kumpenda kwa dhati. Alimuita...
2 Reactions
18 Replies
878 Views
Mabaunsa wamepewa onyo kali kutojihusisha na mapenzi yasiyofaa kwa kuendekeza njaa. Wameaswa kulinda kazi yao ya Ulinzi badala ya mapenzi ya kudhalilisha Utu na kazi yao.
8 Reactions
39 Replies
3K Views
Wazee napenda sana makalio ya wadada hili tatizo kitaalam linaitwaje? Yani hata manzi awe na sura kama kifaru mradi tu ana boflo nitafanya juu chini kwa gharama yoyote nimuweke kifuniko cha asali...
9 Reactions
24 Replies
1K Views
Ndugu wapendwa wote wa JF, Ninayo furaha tele kuwaalika kwenye sherehe ya harusi itakayokuwa kubwa sana kuliko zote zilizowahi kufanyika duniani! Ni wedding banquet la nguvu. Mnaopenda nyama...
7 Reactions
57 Replies
3K Views
Wasalaam Juzi hapa nilileta uzi kuutarifu umma wa JF naishi na binti mbichi wa 2005 bila kwao kutambulika Nilishambuliwa na members watakatifu wa JF kwa nini sijajitambulisha nyumbani kwa binti...
18 Reactions
67 Replies
3K Views
Moja ya jambo huwa nali penda ni kuwa muwazi kwa huyu wa ndani yangu, kuhusu nini niki pendacho, nilicho nacho na hata kwa kile ninacho kihitaji. moja ya jambo nina liona na kusikia toka niko...
16 Reactions
182 Replies
4K Views
Kuna wanaosema iliamriwa ziwe 5 tu. Lakini kuna wanaosema ni 3 tu hasa kama umelipia kila kitu wewe na bado utamlipa mhusika huna sababu ya kujichosha. Nimeongea na dogo mmoja yeye anasema kwa...
9 Reactions
78 Replies
3K Views
Wapendwa, kwanza poleni sana na msiba. Kwa upande wangu, naona kabisa kama niko kwenye majaribu makubwa. Nimejaliwa watoto wangu wawili, na nikahisi wananitosha kabisa. Hapo nikachukua uamuzi wa...
22 Reactions
170 Replies
5K Views
Poleni wafiwa wote MUNGU AWATIE NGUVU tukutane 9D. Huyu mwanamke sasa ni mwaka wa 3 naishi naye, siku ya kwanza kusex naye nilimuona kama hapati raha vile lakin taratibu alipoanza kunizoea akawa...
5 Reactions
45 Replies
2K Views
Back
Top Bottom