Kwanza wakuu poleni na majukumu ya kutwa mzima.nijielekeze mojakwamoja katika hoja yangu hawa jamaa wajenzi wa reli yetu ya mwendo kasi ,sielewi kwani kampuni nyingi za ujenzi zinakuja tunazioma...
Marriage, also called matrimony or wedlock, is a culturally recognised union between people, called spouses, that establishes rights and obligations between them, as well as between them and their...
Nikiri kuwa muda kuoa umefika maana si kwa hamu hii ya kutaka mke na mtoto aisei..!
Sasa kama kawaida yangu huwa nina mzio na wanadada/wanawake vilaza na wavivu wapenda mtelezo/slope...!
Sasa...
Ndugu zangu maambukizi ya HIV bado, tena ndio kwanza aina nyingine( strain) mpya ya mdudu wa HIV amegundulika. Njia za maambukizi ni zile:-ngono isiyosalama, kuongezewa damu, mtoto wakati wa...
Niko kwa relationship na kaka m1 Mzungu mpk raha. Anacare sana halafu anajitambua sana, anajua anataka nini kwa haya maisha. Kama kuna kitu anasema direct hafichi hayuko mnafki.
Ananisaidia...
Poleni na majukumu wana MMU, naomba niende kwenye Mada moja, kwa Moja Nina mahusiano na mwanaume mmoja, Mimi ni mfanyakazi Na mwenzangu ni mfanyakazi pia,mishahara yetu haitofautiani Sana japo...
...usijisumbue, ndoa si Kwa kila mwanamke au mwanaume!
Hii case ni kubwa Kwa wadada/wamama yaani kila wakati wanahangaika lini wataolewa. Utawakuta wamepanga mistari Kwa Manabii/wachungaji kuomba...
Mpaka sasa nimeshachakata mademu zaidi ya Zhong Tong 3
Lakini wengi wao ni wale black beauties.
Nikiwa na demu mweupe nakuwa na mzuka nae kwa wiki kadhaa lakini baada ya muda taratibuu naanza...
Leo nimekumbuka moja ya kisa cha miaka tisa nyuma kilichomtokea dogo mtaani baada ya demu wake kukata betri getto kwake. Daah dogo baada ya kuona vile, naye akajitundika.Yaani wote walienda na...
Habari za asubuhi.
Leo nimekaa nikawa natafakari watu huwa tunakwama wapi linapokuja suala la ndoa.
Utakuta watu wawili katika uchumba wanapendana sana, wanaweka pamoja mipango ya maisha ya ndoa...
Habar wandugu,
Mimi ni kijana niko na 31 years naishi maisha ya kawaida sana. Najishughulisha na ujasiriamali, namshukuru Mungu kipato si haba lakini tatizo jamii inayonizunguka hawanikubali...
Habari wana bodi.
Hii ni mara yangu ya kwanza kuandika kwenye jukwaa hili, japo kuwa ni mshiriki mzuri wa kusoma na kutoa maoni kwenye mada mbalimbali jukwaani. Leo kuna kitu ningependa...
Unaonekana mrembo Mara anapita jamaa anakukatia mistari ,kwa sababu ya ujinga wako na we we unakubali on first day eti kwa vile jamaa amevaa vizur,handsome ama ana hela huo ni uzembe wa aina yake...
Habari maskini wenzangu
Kuna dada hapa jirani kwetu mtto wa kigogo mmja ivi maarufu sana ana matatz ya kupatwa na majini yana mfanya awe na nyege balaaaa
Wiki iliyopita usiku...
Wakuu salam,
Kuoa kuna raha sana, though sometimes kuna ups and downs, vijana tuoe
Nimetoka zangu kupiga mishe mishe kitaa ili nipate chapaa ya kumnunulia wife nguo ya skukuu na chenji aende...
Moyo wa mwanamke una uwezo wa kutunza siri zaidi ya serikali.
Wapo waliotoa mimba na wameambiwa hawatazaa tena. Wamekaa kimya.
Wapo walioolewa na kukimbia ndoa au kuachika, wametunza siri.
Wengine...
Ni kitabu kizuri ambacho kinamfundisha mwanamke kuwa mwanamke( kuna wanawake hawajui mwanamke anakuaje so matendo yako hua hayana tofauti na ya wanaume) . Ni kizuri kwa wadada lakini pia kwa...
Ikiwa bado siku chache kumaliza mwaka 2019 nimetafakari sana mambo ambayo mama anayafanya katika maisha ya mtoto wake.
mbali na kuwa nimekuwa mtu mzima ambaye najitegemea kwa kiasi kikubwa bado...