Hili jibu hakulistahili huyu mdada au nilikosea wapi...?

bigmind

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2015
Posts
12,457
Reaction score
12,714
Nikiri kuwa muda kuoa umefika maana si kwa hamu hii ya kutaka mke na mtoto aisei..!

Sasa kama kawaida yangu huwa nina mzio na wanadada/wanawake vilaza na wavivu wapenda mtelezo/slope...!

Sasa katika harakati za kusaka ubavu wangu juzi kati nikasema ngoja nipitie whatsapp groups kwa simu yangu nione kama naweza pata mremboo kiukweli huwa sihifadhi magroup yasiyo na warembo nikiungwa najileftisha faster STAKAGI Ujinga kupiga story na midume mie.

MKASA:

Katika pitapita zangu nikazama group moja la Afya nikakutana uso kwa uso na mremboo wa KINYATURU anaitwa Irene anasoma pharmacy chuo kimoja dodoma kisu haswa kijana sikulaza DAMU faster nikaza PM ila whatsapp mara akaja hewani.

Siku ya kwanza ikapita, Siku ya pili mara akanitangazia SHIDA OOHH... Mara hapa nina kazi za Stationary nimepungukiwa pesa naomba uniazime nitakurudishia... [emoji849][emoji849][emoji849]

Bigmind nikakumbuka jina langu la hapa JF, nikagundua kwa siku ya pili nimedejezwa kila wakati baby umekula mara umeishatoka job... Haaahh...!

JIBU ALILOPEWA KUOMBA PESA BILA KUIFANYIA KAZI NI HILI..

" Hivi wewe ni yatima na mara hii umenigeuza kabodi kako ka mikopo".

Demu katokwa povu la Tessa ooh... umenidharirisha nikamwambia kosa liko wapi mimi baba yako..??

Wadada acha ushamba kuomba pesa mtu ata usiyemwelewa vyema..! Shida zipo ila tafuta namna bora ya kutuchuna si kishamba hivi.
 
Nikili kuwa muda kuoa umefika maana si kwa hamu hii ya kutaka mke na mtoto aisei..!

Sasa kama kawaida yangu huwa nina mzio na wanadada/wanawake vilaza na wavivu wapenda mtelezo/slope...!

Sasa katika harakati za kusaka ubavu wangu juzi kati nikasema ngoja nipitie whatsapp groups kwa simu yangu nione kama naweza pata mremboo kiukweli huwa sihifadhi magroup yasiyo na warembo nikiungwa najileftisha faster STAKAGI Ujinga kupiga story na midume mie.

MKASA:

Katika pitapita zangu nikazama group moja la Afya nikakutana uso kwa uso na mremboo wa KINYATURU anaitwa Irene anasoma pharmacy chuo kimoja dodoma kisu haswa kijana sikulaza DAMU faster nikaza PM ila whatsapp mara akaja hewani.

Siku ya kwanza ikapita, Siku ya pili mara akanitangazia SHIDA OOHH... Mara hapa nina kazi za Stationary nimepungukiwa pesa naomba uniazime nitakurudishia... [emoji849][emoji849][emoji849]

Bigmind nikakumbuka jina langu la hapa JF, nikagundua kwa siku ya pili nimedejezwa kila wakati baby umekula mara umeishatoka job... Haaahh...!

JIBU ALILOPEWA KUOMBA PESA BILA KUIFANYIA KAZI NI HILI..

" Hivi wewe ni yatima na mara hii umenigeuza kabodi kako ka mikopo".

Demu katokwa povu la Tessa ooh... umenidharirisha nikamwambia kosa liko wapi mimi baba yako.

Wadada acha ushamba kuomba pesa mtu ata usiyemwelewa vyema..! Shida zipo ila tafuta namna bora ya kutuchuna si kishamba hivi.
Mkuu naomba nisaidie namba zake dm
 
Wa kwangu huwa nampatia akiniomba na huwa nampatia zawadi za hapa na pale (surprise)

Ila anaponiomba hela ananiacha hoi!

Kwanza ana pesa kuliko mimi. Kiasi cha pesa ambacho huwa ananiomba nikipima na uwezo wangu ni kidogo sana!

Kwake yeye ndiyo kidogo kabisa. Sasa huwa nashindwa kumuelewa.

Kuna siku nilimuuliza unanitega ama vipi? Akabaki kuniangalia na kucheka cheka.
 
Ambao tuna kazi na mishahara minono mnatuogopa endelea kuhangaika hivyo hivyo kwa hao unaowaita yatima
Hatuwaogopi nina allege na made pasua kichwa kama wewe, bora nikuite shemeji tu.
 
Mnaudhi bhana, tafuta namna bora ya kuchukua pesa zetu siyo kizembezembe hivi..! Sasa Stationary si wanapewa na bodi iweje nigeuziwe mie...?
Hapo kwenye bodi ya mikopo hapo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Wadada kazi tunayo
 
Back
Top Bottom