Direct to the point!
Huyu demu bhna nilimpata kupitia mitandao ya kijamii facebook kupitia account moja hv fake ambayo niliifungua kwa jina la msanii flan hv mkubwa tu hapa Tz
Siku tunaanza...
As salaam alayqum na pia tumsifu Yesu Kristu.
Nafahamu jambo hili limeshaongelewa sana humu lakini nimeona si mbaya nikikumbushia tu na hasa ukizangatia mwaka bado ni mbichi kabisa.
Na pia...
Kweli dunia hii hakuna cha bure.....
Kaniachia mzigo wote nipige ninavyotaka,nikajiuliza mbona leo amejiachia hivi? Baada ya masaa mawili ananiletea changamoto za kutatua. Ama kweli hakuna cha...
DUNIA ya mapenzi kila siku ina mambo mapya. Huyu anaingia, huyu anatoka. Kuna ambaye analia na kuna ambaye anacheka. Anayecheka si rahisi sana kumfikiria anayelia, anaamini kama vile mambo...
Wakuu, kuna mwenye rafiki wa utotoni ambaye siyo marafiki tena. Kwa namna moja ama nyingine, kuna marafiki ulikuwa nao leo haupo nao tena. Nini sababu?
Kuna sababu mbalimbali ambazo hufanya...
Habari zenu wana JF? Niende moja kwamoja.
Bwana harusi mmoja nchini China akiwa ukumbini aliamua kuonesha video ambayo inamuonesha mke wake akifanya mapenzi na mume wa dada yake chumbani.
Bwana...
Habari wana jamvi. Hello mr right ni kakipindi fulani kanako endeshwa pale kenya na RAMBO TV, kakizaminiwa na startimes.
Kipindi chao kina husisha single boys &single ladies. Nimeshindwa kuelewa...
Salaam wakuu,
Heri ya Christmas in advance. Naombeni ushauri wenu.
Yapata miezi mitatu namiss na kutamani kuyarejesha mahusiano yangu ingawaje imeniwia vigumu kabisa kutokana na kublokiwa katika...
Asilimia kubwa ya mabinti wazuri wana watoto. Kila demu mzuri utakuta tayari kazalishwa. Vijana ambao hamjaoa kazi kwenu maana mnaenda kuoa wake za watu.
Habari wana-Jamvi, nilipokuwa naanza mahusiano na MPENZI WANGU nilimlaghai kwa kumwaminisha kuwa mimi namiliki makampuni kibao,ikiwepo KAMPUNI YA LUGUMI.
Ilikuwa vigumu kuweza kugundua yeye Kwani...
Napenda kuwatangazia wana jf kwamba mwaka huu historia ya maisha yangu will change from senior bachelor to masters of couple. nahitaji kuoa ila mpaka sasa mchumba sina hivyo napenda kuwatangazia...
Tunaishi na wake au wanawake tuliokutana nao kwenye mazingira tofauti tofauti. Kuna mazingira ambayo ni mazuri sana kukupatia mke pia kuna mazingira mengine ni ya kiboya sana hayawezi kukupatia...
Kama heading ilivyo hapo juu. Nimetongozwa na muhindi roho yangu ime mdondokea ila naogopa. Hofu yangu ni je atakuwa ametoa mfuniko kwenye uume wake au ana govi!
Sipendi mwana baba mwenye mfuniko...
Hivi mfano una mume unampenda sana,unamuheshimu mno lakini kama unamuogopa flan hivi je wadada mnafanyaje kuiondoa hii hali yaani umzoee mumeo uwe free nae sana.
Unajisikia kumtania kila wakati...
Tangu nimezaliwa mpaka nimefikia hapa, sijawai kutembea na mwanamke yoyote mbali na mke wangu wa sasa,
Nimekutana nae tangu shuleni yeye akiwa form two mimi form four enzi hizo bado tupo watoto...
Nina mchumba wangu (GF) ambaye nilianza uhusiano naye O Level 2016, muda huo nipo form 4 yeye akiwa form 3.
Kipindi tunasoma sikuweza kubahatika kufanya naye mapenzi kwa sababu shule yetu ilikuwa...
Mambo vipi waheshimiwa.
Mabaharia wangu si mnajua vile unakuwa unasumbuliwa sana na wife/demu home. Mara hivi mara vile, ugomvi kidogo anatishia kukuacha.
Sasa akileta habari hizo wewe jitoe...
Kabla naanza na kisa hiki.
Mwanaume kaenda kanisani na mkewe.Wakati wa kupokea sacrament mwanaume bahati mbaya kadondosha kikombe cha shaba chenye divai, divai ikamwagika.
Mwanamke na padre...