Haka ni kautafiti kangu nlikofanya, mahusiano mengi mapya ya kimapenzi yanashindwa kufikisha mwezi mmoja kwasababu wanawake wengi huomba hela mda mfupi baada ya kutongozwa.
Na moja ya changamoto...
Wadau, nimefanikiwa kuiacha pombe iliyonitesa kwa muda mrefu, ikanichakaza. Pombe kali, nikaacha kazi serikalini mwaka 2014, nikahama Dar ila roho ya ulevi haikuniacha.
Ikaniondolea kabisa...
Niliwai kua na mahusiano ya kimapenzi na msichana mmoja huko nyuma kidogo 2010s kwa wakati huo wote tulikua wanafunzi wa Elimu ya upili ila shule tofauti na Mimi nilitangulia kumaliza nikarudi...
Hii dunia ndivyo inataka tuishi hivyo, sasa basi na sisi tutaishi hivyohivyo inavyotutaka tuishi,
Halafu kuna kitu mimi nimegundua laiti kama mapenzi yasingekuwepo duniani nahisi tungeishi kwa...
Maisha yangu mwenyewe ni ya hapa na pale kazi ngumu nafanya kupata kipato,
Kuna kipindi flani mama mkwe alibanana sana (bado sijamuoa binti ake ni mchumba wangu)
Baasi bwana kutokana na kwamba...
Habari zenu wakuu.
Niende moja kwa moja kwenya Mada.
Ili upendwe na mwanamke fanya haya kwa wakati husika.
No 1. Mpe pesa
No 2. Mpe pesa
No 3. Mpe pesa
No 4. Mpe pesa.
No 5. Hata kama unaumwa...
Nlipandisha uzi humu ndani kuhusiana na changamoto ninayoipata kila napotaka kumchakata mke wa Ali Bao.
mara zote tunakutana ndani ya muda mfupi period inamwanza ghafla.yaani kwa mwezi mara tatu...
USIUMIE KAMA HAKUPENDI.... Usiumie kama hakupendi.ngoja niweke hili jambo vizuri kidogo.yaani ni bora uone kabisa huyo umpendae hakupendi kuliko ajifanye anakupenda kumbe hakupendi.maumivu yake ni...
Kwem jaman mabaharia wenzangu Zero IQ njoo hapa
Jana manzi kaja nini mixer kuchezeana sebuleni nikawa natafuta mbinu ya kumchomoa nimpeleke magheto
Mungu si adhuman deal done ila kufika mixer...
Ndugu ni mkasa mfupi mnaweza kushauri,
Iko hivi nimeoa ila nafanya kazi ofisi moja na mdada mmoja mzuri sana. Mke wangu pia Ni mzuri thus way nimeamua kumuoa. Lakini tatizo mke wangu haniamini...
Asee wanajamvi Nadhani kila mmoja wetu yupo sawa anapambana na hali yake.
Kijana ambaye bado unahangaika kachungulia na kushindana na sehemu ulipotokea usifanye kosa la kula tunda bila ndom a.k.a...
Huyu mtoto wa Geti kali yupo hapa Jijini dodoma kwa wazee wake waliohamishiwa hapa kikazi, mara tu baada ya yeye kumaliza elimu yake ya Juu (Chuo kikuu UDSM),
Tatizo ni kwamba wazee wake...
Ni binti wa makamo tu tuliyejuana kwenye daladala.
Wakati huo mi natoka kisasa "Jijini Dodoma" mishe zangu kuelekea katikati ya Jiji, na yeye baada ya kumuuliza aliniambia ndio anatoka Dar...
Nilikuwa na mahusiano na binti mmoja hivi
Tulikubaliana siku za kukutana kimapenzi.
Basi siku moja binti huyo alinifata akaniambia mpenzi wangu ninanyenge sana kivyovyote vile Leo naomba...
Mambo ambayo mwanaume anafanya kukutest kama wewe msichana unafaa kuwa mke wake:
1. Ukienda kwake ukutane na vyombo vichafu na nguo chafu zimejazana usidhani ni mvivu, ni kamtihani anakupa.
2...
Mnamo tarehe 22 Oktoba 2019 tulipokea simu toka kwa Ndugu Sudi wa Tandahimba ambaye alitoa taarifa kuwa mzazi mwemzie (mama wa watoto wake) amewatelekeza watoto wao watatu Adam mwenye umri wa...
Anakuchangamkia wewe mpenzi au mume wake kupita maelezo.
Hakuombi pesa yoyote ile.
Kila mara anapenda kukupigia simu na kukupa maneno matamu na ya kimahaba zaidi.
Hapendi uwajue ndugu zake wote au...
Zipo sababu lukuki kwanini tunawapeleka watoto wetu shule za bweni ikiwa ni pamoja na kufiwa na wazazi wao, majukumu ya kusaka riziki kwa wazazi, elimu bora na zingine kadha wa kadha. Leo...