Namna ya kupendwa

Namna ya kupendwa

ryana fan

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2018
Posts
2,632
Reaction score
3,063
Habari zenu wakuu.

Niende moja kwa moja kwenya Mada.

Ili upendwe na mwanamke fanya haya kwa wakati husika.

No 1. Mpe pesa
No 2. Mpe pesa
No 3. Mpe pesa
No 4. Mpe pesa.
No 5. Hata kama unaumwa na huko maututi mpe pesa
No 6. Hata kama huna pesa wewe mpe pesa tu
No 7. Mpatie pesa bila kujali una hali gani

Note: Hawahitaji upendo wa kweli. Hawataki ulalamike hata kama huna kitu sema unayo. Hawataki kuelezwa ukweli, wewe baki na ukweli wako. Timiza rule no 1 adi 7.

Naomba kuwasilisha.



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kama mambo yamekwama nimekosa pesa leo, kupendwa nako kwishney, basi sawa ngoja tuone.
 
Mnataka nin mpendwa ?
Fisiem Ndiyo akili zenu hizi
tapatalk_1549982209382.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom