Msaada wa haraka, kaniambia ana "boyfriend"

engine search

Senior Member
Jan 4, 2020
173
225
Niliwai kua na mahusiano ya kimapenzi na msichana mmoja huko nyuma kidogo 2010s kwa wakati huo wote tulikua wanafunzi wa Elimu ya upili ila shule tofauti na Mimi nilitangulia kumaliza nikarudi nyumbani kwani kwa kipindi hicho nilikua nasoma Mtwara, ila nyumbani ni Lindi.

Baadae nae akamaliza tulipotezana kwa muda baadae alinitafuta tukaja kuonana mtandaoni tulikumbusha baadhi ya matukio ila tukafurahi kwa muda na aliniambia kua ana mchumba hivyo h asingeweza kua na nami ila aliniomba tuwe Marafiki wa kubwa kwa kweli ili liliniumiza saana nami nilimkatalia.

Mara nyingi zaidi ila yeye alisisitiza na kuniomba saana kitu kilichonipelekea nimkubalie na alifurahi mnoo tuko na umbali ila kitu kilichonipelekea niandike Uzi huu ni pale ninapompigia au kunipigia video call uwa anafanya kila analoweza kunichokoza saana kingono labda akifanya kama anajichua au kuminya na kulamba matiti wazi kabisaa ila ukimwambia tuwe wapenzi anakataa,,kasema nimpe nafasi ya urafiki katika maisha yangu kwani hawezi nisahau ila Mimi sijawai kukutananae kimwili.

Nisingeweza kua Rafiki yake pia nisingeweza kumuona anahuzunika,,nikiamini kua jf ni zaidi ya shule ya saikolojia pia ni zaidi ya chuo chenye wataharamu wa ushauri na saha nami naomba MSAADA WA MAWAZO NA USHAURI NIFANYAJE.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

james nkwabi

Senior Member
Jul 18, 2017
170
250
engine search,Pole sana mwana jukwaa mwenzangu binafs ninachokushaur hyo mwanamke tayar kwashakuambia ana mtu wake hvyo cha kufanya ww nikumuelewa tu maana hawa ndg zetu wanawake hata ukimung'ang'ania ni sawa na kupoteza muda wako.......na weka akilin hyo mwanamke cyo mwenzako maana unaweza kuish naye kwa miaka hata 10 lakin siku ukifariki yy husau yote nakwenda kuolewa hvyo mwanamke cyo mama yako chakufanya ni ww tu kuamua kwamba hyo mwanamke hakuwa fungu lako....yangu hyo ila wanasaikolojia watakuja kutoa ushaur wakitaalum

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Bonny

JF-Expert Member
Feb 21, 2013
13,196
2,000
Kaka kwan huwez kuwa na girlfrienf mwengne huyu akabakia rafiki ako wa kupigiana video calls tu,?
Mbona mambo mengne mepesi sana kuyajadili.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom