Unawezaje kumudu mapenzi ya namna hii!

Unawezaje kumudu mapenzi ya namna hii!

Muuza simu used

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2017
Posts
4,393
Reaction score
7,108
Wakuu tupeane mbinu jinsi ya kudate na wanawake wanaopenda kuchat kupita maelezo!

Kwa kifupi hiyo hali sijazoea najikuta naboreka badala ya kufurahia mapenzi ya kila mara baby upo wapi unafanya nini mara upo na nani mara video call,kwa kifupi kuongea lisaa limoja kwenye simu siwezi kwani tunajadili kupindua nchi!!

Napenda niwe huru sometimes sio mapenzi mapenzi kila muda!

Wenzangu mnaokutana na wanawake wa aina hii mnatumia mbinu gani ili kila mmoja asimkwaze mwenzake?

Sent using IPhone X
 
Mtafutie kazi napo utalalamika analiwa kazini! Kuhusu video call tumia kitochi!
Kaanae chini mueleze
 
Tangu kuumbwa kwa dunia binadamu hajawahi kuridhika
 
Subiri Ela zako zikiisha Hawezi kukusumbua tena

Wanawake wanalenga kwenye umatemate [maela] yani na wao Akili wanazo japo mnawatoa sana Akili ila ni wajanja sana hawa watu

Na zisipoisha mkuu nifanye vipi?

Sent using IPhone X
 
Mbona ishu ni ndogo tu hapo tafuta asiependa kuchat ambaye hatakuwana muda na ww wakukujulia hali maana ww hili swala siulipendi huyo bibie sio type yako piga chini.
 
Mtafutie kazi napo utalalamika analiwa kazini! Kuhusu video call tumia kitochi!
Kaanae chini mueleze
....😂😂😂😂😂...kitoch nokia...utakuwa umemaliza kazi...hata mimi sipend mapenzi ya namna hiyo yanachosha mnoo...tena mnoooo
 
Kama unaona anazingua sana kuhusu video call..nunua line ya tigo..kila mda hauna bando...usumbufu komooo
 
Dah, mkuu umenilenga mm nn? Huyo ni yule anajifanya demu wangu, mwanzo aliniambia hataki hela, kipindi cha nyuma kidogo akaniambia nimtumie laki 1, nikamuambia sawa nitakutumia, Juzi tena kabla ya kumtumia ananiambia simu yake imepasuka nimpe laki 2 ataengeza 70 ili anunue simu, nilichoka, yaani mpaka sasa nimezima simu hanipati tena na huu usiku nitamuekea maamuzi, yaani hawatumii ata akili kwenye kuomba, alaf eti anasomesha Nussury uyoo duh, ata atumie akili kwenye kuomba basi dah
Subiri Ela zako zikiisha Hawezi kukusumbua tena

Wanawake wanalenga kwenye umatemate [maela] yani na wao Akili wanazo japo mnawatoa sana Akili ila ni wajanja sana hawa watu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah, mkuu umenilenga mm nn? Huyo ni yule anajifanya demu wangu, mwanzo aliniambia hataki hela, kipindi cha nyuma kidogo akaniambia nimtumie laki 1, nikamuambia sawa nitakutumia, Juzi tena kabla ya kumtumia ananiambia simu yake imepasuka nimpe laki 2 ataengeza 70 akanunua simu, nilichoka, yaani mpaka sasa nimezima simu hanipati tena na huu usiku nitamiekea maamuzi, yaani hawatumii ata akili kwenye kuomba, alaf eti anasomesha Nussury uyoo duh, ata atumie akili kwenye kuomba basi dah

Sent using Jamii Forums mobile app
Alafu siku hizi kuna huu upepo wa walimu wa Nursery aisee bado tu hunaniandama sana
 
Back
Top Bottom