Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

1. KIFO CHA MENDE. Huu ni "mkao" wa kizamani au kilokole kufanya mingine ni dhambi hahahah "Mkao" huu umeboreshwa na unaweza kuufanya katika "pembe" tofauti inategemeana na wepesi wako, Ila hizi...
5 Reactions
92 Replies
6K Views
They are soo emotional mature Mwanamke mkubwa hawezi kuteseka na vitu vidogo vidogo kama kuchelewa kurudi kazini, kuuliza kama una date na mtu kisa amekutext, kufanya upekenyuzi usio na maana...
1 Reactions
9 Replies
144 Views
Binti wa zaman,@seran,@lamomy,real mummy,@shes_rises1,leo dada
5 Reactions
103 Replies
1K Views
Mimi niliishia kuliwaziwa tu mara oh one day yes................Sasa kwa wale wenzangu na mimi mnaovutiwa na warembo na kuwaanzishia nyuzi mshawahi fanikisha chochote?
15 Reactions
162 Replies
1K Views
Hakuna mapenzi na wala haitakaa iwepo ni ubatil mtupu.ndoa ni ubatili mtupu.Maisha ni kuish single tuh mama na kupenda sana.
3 Reactions
14 Replies
133 Views
Mama ni wewe tu upendo wangu wote ni kwako.siwezi nikapenda mwanamke mwingin asiye na uchungu nami. Moyo wang haupo tayari kuumizwa.
7 Reactions
26 Replies
242 Views
Naanza na real mamy unastahili heshima yako mkuu, nakupenda bure kipenzi.
3 Reactions
14 Replies
117 Views
Kwema wakuu. Mke wangu mtarajiwa nimemwambia siku nakuvisha pete ya uchumba utapiga goti, kanijibu nikupigie goti kwani nakuomba nini? Hii imekaaje! Noamba kuwakilisha.
10 Reactions
43 Replies
455 Views
Umri awe 18-21 awe anaish dar kama yupoh AJ dm tuyajenge
1 Reactions
20 Replies
168 Views
UKIOA MALAYA/MDANGAJI KUZAA MABINTI MALAYA HAKUEPUKIKI NI UHAKIKA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Hakuna sababu hata Moja ya maana ya mwanamke kuwa Kahaba. Kuwa Kahaba ni uchaguzi wa Mtu na...
20 Reactions
124 Replies
4K Views
Unawezaje kuhandle situation ya kuwa na ugomvi ndani ya nyumba kama familia ikapita wiki 2 bila kuongeleshana wala kusemeshana. Sababu ya msingi Hamna hasa kwa mwanamke. Mimi kama mwanaume...
16 Reactions
189 Replies
2K Views
Salama. Jamani sasa hivi kwenye miji iliyochangamka mabinti kujitunza imekua uongo kabisa . U can't imagine mabinti wadogo mtoto ana mzaa mtoto ,watoto wadogo wa kike wanakunywa pombe kali ni...
4 Reactions
12 Replies
258 Views
Umuofia kwenu wadau...........aisee leo imenilazimu niandike huu uzi maana kuendelea kuficha maradhi aibuuu itaniumbua. Mimi ni kijana miaka 30+ kama nilivyoeleza hapo juu. Kila nikikutana na...
5 Reactions
62 Replies
2K Views
Hamjambo! 1. Aiseeh! Haya! Kuna watu vichwa vya gunzi. Wagumu Sana kunielewa. 2. Kazi Yangu ni kuwapa Doctrines za kubadilisha akili zenu hizo. Najua kuna watu vichwa ngumu. Ngumu Sana lakini...
4 Reactions
5 Replies
226 Views
Kumekuwa na madai kuwa wanawake wa mikoa kama Manyara, Singida na wengine wanasema Bukoba Nk ni Malaya hawafai kuolewa. Sasa swali langu ni wanawake wa mikoa gani au kabila gani sio Malaya mimi...
10 Reactions
47 Replies
768 Views
Kwenye mikao ya kushusha dozi unapendelea mkao upi. mimi napendelea shoot again and back style.
1 Reactions
7 Replies
133 Views
Navimba saivI kishezI sana natembea sai na pisi mbovu mrad tu nipunguze mzigo. ila Nikimiliki mapene lazima nitamiliki pisi ya kuheshimika.ee Mungu...
7 Reactions
13 Replies
152 Views
Wakuu Hii hali imeanza ina kama week mbili hivi. Nifanyaje?
8 Reactions
80 Replies
1K Views
Shikamoon wakubwa zangu. Juzi jumamosi nimeibiwa Pochi yangu na watu waliokuwa kwenye bodaboda Maeneo ya Tabata bima Kwakweli Kwa umasikini wangu nimeumia Sana. Pochi yenyewe ina Thamani ya...
17 Reactions
97 Replies
1K Views
Ebu naombeni tafsiri ya wazi ya kusema "mwanamke flani ni mrembo" Neno urembo hasa tunazingatia nini?
2 Reactions
9 Replies
95 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…