Nikupigie goti kwani nakuomba nini

Nikupigie goti kwani nakuomba nini

Kuvalishana pete ni utamaduni wa wazungu ambao hauwezi kufanya kazi kwenye mazingira ya kiafrika ila unalazimishwa tu.
Sitafanya huo ujinga, nitapeleka wazazi wangu na washenga tutoe mahari tujitambulishe kisha nimepeleke mke nyumbani wamjue,
Mambo mengine kama pete, ndoa za kanisani na sherehe hayana msingi ni kufuata mkumbo
 
Bila shaka wewe ni Ke na mwamba kagoma kupiga goti kama mwanamke. Yuko sahihi kabisa, huwezi lifanya dume la mbegu lipige goti kana kwamba linaomba msamaha.

Ila kama aliyeandika uzi huu ni Me, nashauri ajifunze mila na desturi za kabila la mke wake ili asiwe anamlaumu kwa mambo ambayo si sehemu ya utamaduni wake.
 
Back
Top Bottom