Real mamy rudi kwenye uzi wangu ninashida na weweOngezea nyama Nyama kwenye Uzi 😝
Tumetesa na nini?
Na kwanini mumtese kijana wa watu? Hamna huruma kiasi hicho?Ongezea nyama Nyama kwenye Uzi 😝
Tumetesa na nini?
😅😅😅😅 HajasemaNa kwanini mumtese kijana wa watu? Hamna huruma kiasi hicho?
Mtu asitoe maoni yake jamaniNjoo tukupe kazi hapa ya saidia fundi uache u simp.
Ukisikia kazini kuna kazi, basi ni kazini kwa kina Mods.. 😃
Hatubaki watu sisi jamani msituharibieSiku ukija kubakwa na hao unaowaita wanawake usije ukalaumu mtu,nimekwambia mapema kenge wewe.
MKimuomba hela atatoa.?Mtu asitoe maoni yake jamani
😅Real mamy rudi kwenye uzi wangu ninashida na wewe
😅😅😅😅😅MKimuomba hela atatoa.?
Una uhakika gani kwamba hao n wadada?
Habari Yako Bamtu hutaki mwanao Nyota yake ing'ae?Kwa kukisia tu itakuwa pm zipo busy sana. Maana wiki hii vijana hawataki kubaki nyuma.
Subiri zamu yenu mtafikiwa 😝Una uhakika gani kwamba hao n wadada?