Leo tulikua tunataniana na rafiki yangu baada ya kunipa taarifa kuwa anataka kuoa ila mpenzi wake kamwambia wakapime HIV kabla ya kuanza maandalizi ya ndoa.
Jamaa anaogopa maana anasema tangia...
Mapezi sio kitu cha kuchzyeiya.
Habari wakuu. Nina week tatu sasa nipo katika mapenzi motomoto na Binti mrembo sijapata ona. Kama ni ufundi kajaaghliwa, ananiheshimu na anajielewa ni mtu mzima...
Nina mke wangu ambaye tupo kwenye ndoa kwa miaka mitano sasa, mwanzoni wakati wa sex ilikuwa siwezi ingiza mashine yote kwani nilikuwa nagusa sehemu na anaumia, alisafiri miez mitano sasa karudi...
Nimekuwa nikisikia hoja hii na nimeshuhudia visa kadhaa,kipato cha mwanamke kikiongezeka kumpita mwanaume basi kuna changamoto zinaibuka ndani ya uhusiano,ni kweli wanawake wenye fedha huwa jeuri...
Wanaume kweli tunakazi aisee. Yaani hivi karibuni mimi na mke wangu tumepata mfanyakazi wa ndani mpya kutoka Iringa lakini imekuwa ni majaribu kwangu mwanzo mwisho pale wife anapotoka nyumbani na...
Hello wanajukwaa,
Mimi ni mwanamke wa miaka 31
Nina mtoto mmoja
Ni mkristo
Nimeajiriwa
Najitokeza kuweka tangazo la kuhitaji mume aliye na utayari.
Awe mkristo
Awe na miaka 33 -40
Awe na kazi...
Katika pitapita zangu huko mkoani nnje ya Dar, nimeshuhudia wanawake wazuri sana halafu hawana tamaa kabisa kama hawa wa kwetu wa hapa mjini.
Nakumbuka katika week3 zile nilizokaa kule mkoani...
Wakubwa shikamooni? Wadogo zangu marahabaaaa.
Direct to the point : kuna binti Nina mahusiano nae h7 mwaka wa pili sasa tulikutana alipokuja dar kusalimia dadake ambaye alikuwa jirani yangu...
Hii itaturahisishia kazi, unaeza ukamzamia mwanamke PM ukidhani ni pini kutokana na avatar yake kumbe ni Tinginya.
Na unaweza ukaona mwanamke kaweka lipicha libayaaa kumbe yeye ni pini balaaa...
Kuna mwanamke mmoja ana umbo moja matata, pia ni mzuri wa sura. Huyu demu nimekuwa nikimfukuzia kwa muda mrefu bila mafanikio.
Kuna kipindi kama mwaka mmoja umepita nilimtumia nauli ili aje...
Habari zenu wana MMU,
Nina mpenzi wangu tena alianza kunipenda mwenyewe mimi nikajaa. Huyu mwanamke kiukweli ni mtumishi mwenzangu na baada ya kuanzisha mahusiano naye nikipita kwake atanihudumia...
Ijumaa niliamua nikaunguze wallet maeneo ya The great pale barakuda. Bahati mbaya siku hiyo sikua na kampani hivyo nikajipanga kupata mlimbwende mmoja ambaye nitamlisha, nitamnywesha na nitaenda...
Leo nimerudi nyumbani nikajisahau nikaingia ndani sijanawa,dogo kuniona kaja speed mia kunihug .nimepata adhabu ya kukimbizana nae nyumba nzima kumkwepa.nikaona Bora nije niwakumbushe wenzangu...
Nimechoka na huu upuuzi wa msichana eti anakupigia anakuja eti umchukulie msosi kabisa. Kwani nimejaza gesi na friji limejaa nyama na mboga za majani ili apike nani? Kuna kiroba cha mchele na...
Yasinta Josephat
9 hrs ·
Enock Tz to SHILAWADU EXCLUSIVE by hamzaj4
Yesterday at 1:44 PM
Kuhani Mwana WA LawiFollow
June 3, 2017
Ni asubuhi moja hivi jamaa anaondoka kwenda kazini...
Heshima kwenu ndugu zangu.
Naomba muda wenu na mawazo yenu nipate ABCs za kuzingatia katika hili suala, limenikaa hapa nami sikuliwazua kwa upana wake kabla ya kuamua.... nitaelezea kwa uchache...
Siku moja nilikuwa katika ofisi fulani nataka kufanya kazi, kabla sijaanza ile kazi, dada moja wa office ile akaniambia kwamba anayetumia office hiyo ni muadhirika wa UKIMWI, angalia vizuri sana...