Nimeingia chimbo lenye Competition na Tajiri wa hapa town

blogspot

JF-Expert Member
Jan 7, 2017
1,268
1,138
Mapezi sio kitu cha kuchzyeiya.

Habari wakuu. Nina week tatu sasa nipo katika mapenzi motomoto na Binti mrembo sijapata ona. Kama ni ufundi kajaaghliwa, ananiheshimu na anajielewa ni mtu mzima kidogo kaniacha miaka kama Matatu.

Wakuu Week iliyopita nilikumbana na Maswahibu, na nibaada ya kupewa mwaliko wa kufika sehemu Mwana dada alipopanga.

Kama kawaida niliupokea kwa mikono miwili. Ili hali namkumbuka sana Afande wangu wa 842 KJ aliniiambia Dogo ukienda popote pale hakikisha usalama wako kwanza. Aliniambia niangalie vitu hivi.

*Dirisha La kutokea endapo hali itachafuka.
*Tundu juu ya Dari endapo hali itachafuka.
*Silaha iliyokaribu Mfano Knife au Panga ndani ya Mjengo nitakaokuwepo.
*Kutumia akili ya ziada (Inteligence).

Sasa Baada ya kuyakumbuka hayo nilijitosa nikaibuka kwa Mrembo wangu,Mapokezi yalikua shwari kabisa. Wakati story zinaendelea Ghafla mlango ulianza kugongwa huku kitasa kinazungushwa kwa nguvu. 😂😂 Ma***e kumbe ukifumaniwa lazima uwe mdogo kama piritoni. Hapa ndipo nilijiona lofa Kinywaji nilichokua naendelea nacho nilishindwa maliza nikachukua utulivu kwanza. Wakati huo binti kajilaza kitandani anabonya simu yake.

Uzalendo ukanishinda baada ya kuona Jamaa anakamia mlango ndani ya dk 10. Nikamtext mrembo wangu "Nani huyo" akajibu "Jirani yangu ila ananisumbua saana"

Uhhhh!!! Pumzi nazishusha mdomdo. Ghafla jamaa akaacha kugonga mlango. Na hapo ndipo nikajivuta kwa bedi kwanza kujua undani Why ??? Nikaambiwa tu "kuna Ndinga umeiona hapo nje wakati unaingia ni yake anafanya biashara hapa hapa Town, ila ananisumbua sana kwa kigezo cha pesa zake"

Mimi sio mjinga kiasi cha lami! Wakati nipo kitandani na nishajua Mtoto haitaji pesa nilijua anaitaji mapenzi ya dhati tu kwakua ni Afisa...... flani. Nilimchombeza na kufurahia usiku ule vizuri, bila wenge la Jirani yake.

Na nilikua sijui kumbe ukimpatia penzi motomoto mwanamke lazima atakushukuru "Niliambiwa Ahsante umeikata kiu yangu".

Sasa wakuu kuna taarifa za chini ya kapeti nimepata jamaa ananitafuta niingie anga zake anitambalizee. Juzi alinikosa kosa kwa ndinga. Na jamaa Kanizidi umri sana. Anadai Chalii mdogo kama mimi siwezi shindana nae atatumia kila njia.

Povu siitaji!
NB : Wakuu ukipata mwaliko kwa Mwanamke usiende kama una roho nyepesi. Vinginevyo yakikukuta utakufaa sio kwa kupigwa kwa presha.
 
😂😂 unaanzaje kusema sasa. Hata kama ingetokea nisingesema mkuu. Wewe ungesema kwani maana sio desturi yetu
Kwan ukitolewa marinda utasema?
Unafikir wanaume wa humu hawatolew marinda, lkn ushaona uzi wowote?
 
Hapo nakubali nilijichanya ila sikutegemea angekua jirani. Hawezi kunipata labda mimi nimpate team yangu kubwa mkuu
Uzembe ulofanya ni kwenda kumkulia kwake!
Sasa mkuu jitahidi usikamatwe, jamaa atakuachia historia!
 
Mkuu room zao zipo jirani hivyo kuna sauti alizikia usiku ule. Pia asubuhi aliwahi kuamka kujua ni nani! Ila nilimsoma wakati natoka mkuu. Hivyo hii vita tumeshajuana
Hahaha kaka paka hapo unadanganya .. kajuaje unamla manzi sasa? Acha kutulisha matango pori mshenz
 
Sio hivyo mkuu budget kuimudi ninaweza ila sifa za kujiamini ndio zilinipeleka boss. Sisemi waoga ndio wanachoma budget zao hapana.
Wanaume wa siku izi tunapenda sana mtelemko.
Kuandaa budget yake ya 100000anaona mzigo, yuko njiani kuliwa yeye.
 
Huna geto ukamkaribisha kwako
Mapezi sio kitu cha kuchzyeiya.

Habari wakuu. Nina week tatu sasa nipo katika mapenzi motomoto na Binti mrembo sijapata ona. Kama ni ufundi kajaaghliwa, ananiheshimu na anajielewa ni mtu mzima kidogo kaniacha miaka kama Matatu.

Wakuu Week iliyopita nilikumbana na Maswahibu, na nibaada ya kupewa mwaliko wa kufika sehemu Mwana dada alipopanga.

Kama kawaida niliupokea kwa mikono miwili. Ili hali namkumbuka sana Afande wangu wa 842 KJ aliniiambia Dogo ukienda popote pale hakikisha usalama wako kwanza. Aliniambia niangalie vitu hivi.

*Dirisha La kutokea endapo hali itachafuka.
*Tundu juu ya Dari endapo hali itachafuka.
*Silaha iliyokaribu Mfano Knife au Panga ndani ya Mjengo nitakaokuwepo.
*Kutumia akili ya ziada (Inteligence).

Sasa Baada ya kuyakumbuka hayo nilijitosa nikaibuka kwa Mrembo wangu,Mapokezi yalikua shwari kabisa. Wakati story zinaendelea Ghafla mlango ulianza kugongwa huku kitasa kinazungushwa kwa nguvu. Ma***e kumbe ukifumaniwa lazima uwe mdogo kama piritoni. Hapa ndipo nilijiona lofa Kinywaji nilichokua naendelea nacho nilishindwa maliza nikachukua utulivu kwanza. Wakati huo binti kajilaza kitandani anabonya simu yake.

Uzalendo ukanishinda baada ya kuona Jamaa anakamia mlango ndani ya dk 10. Nikamtext mrembo wangu "Nani huyo" akajibu "Jirani yangu ila ananisumbua saana"

Uhhhh!!! Pumzi nazishusha mdomdo. Ghafla jamaa akaacha kugonga mlango. Na hapo ndipo nikajivuta kwa bedi kwanza kujua undani Why ??? Nikaambiwa tu "kuna Ndinga umeiona hapo nje wakati unaingia ni yake anafanya biashara hapa hapa Town, ila ananisumbua sana kwa kigezo cha pesa zake"

Mimi sio mjinga kiasi cha lami! Wakati nipo kitandani na nishajua Mtoto haitaji pesa nilijua anaitaji mapenzi ya dhati tu kwakua ni Afisa...... flani. Nilimchombeza na kufurahia usiku ule vizuri, bila wenge la Jirani yake.

Na nilikua sijui kumbe ukimpatia penzi motomoto mwanamke lazima atakushukuru "Niliambiwa Ahsante umeikata kiu yangu".

Sasa wakuu kuna taarifa za chini ya kapeti nimepata jamaa ananitafuta niingie anga zake anitambalizee. Juzi alinikosa kosa kwa ndinga. Na jamaa Kanizidi umri sana. Anadai Chalii mdogo kama mimi siwezi shindana nae atatumia kila njia.

Povu siitaji!
NB : Wakuu ukipata mwaliko kwa Mwanamke usiende kama una roho nyepesi. Vinginevyo yakikukuta utakufaa sio kwa kupigwa kwa presha.
 
Mdada alikua single ila alishamwambia jamaa kuna anamtu wake. Hivyo katika mazingira tuliyokutana Mdada alikua hot sana alishindwa kuzuia hisia.
Kumbe ulijua kabisa mdada ana mtu wake?!
 
Back
Top Bottom