Kwanini pesa ikiongezeka Kwa wanandoa hasa mwanamke mambo huwa magumu Kwa mwanaume!

boris maganga

JF-Expert Member
Jun 11, 2017
365
500
Nimekuwa nikisikia hoja hii na nimeshuhudia visa kadhaa,kipato cha mwanamke kikiongezeka kumpita mwanaume basi kuna changamoto zinaibuka ndani ya uhusiano,ni kweli wanawake wenye fedha huwa jeuri na viburi kuliko wanaume.
 
Mr. MTUI

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
7,893
2,000
Mwanaume anaweza kuishi miaka zaidi ya 15 na mwanamke asiyekuwa na kazi.. Ilihali mwanamke hawez maliza mwezi mmoja kuishi na mwanamme asiyekuwa na kazi
 
Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
23,288
2,000
Shida huanza pale mwanamke anapoachiwa jukumu la kutafuta pesa, lazma alete ngebe tu!

Mwanamke apewe cherehani na duka tu. Afanyie shughuli zake nyumbani.
 
Pythagoras

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
8,594
2,000
Nimekuwa nikisikia hoja hii na nimeshuhudia visa kadhaa,kipato cha mwanamke kikiongezeka kumpita mwanaume basi kuna changamoto zinaibuka ndani ya uhusiano,ni kweli wanawake wenye fedha huwa jeuri na viburi kuliko wanaume.
Mke wangu alishaniambia .....unajua Pythagoras ningekuwa na pesa unadhani ungenipata?

Mpaka leo hii kauli naifikiria sana. Siku akipata mchongo wa maaana akaondokana na utegemezi kwangu basi itakuwa imekula kwangu.
 
Proved

JF-Expert Member
Sep 10, 2018
9,107
2,000
Mke wangu alishaniambia .....unajua Pythagoras ningekuwa na pesa unadhani ungenipata?

Mpaka leo hii kauli naifikiria sana. Siku akipata mchongo wa maaana akaondokana na utegemezi kwangu basi itakuwa imekula kwangu.
Afadhali amekuwa muwazi kwako ili ujiandae kisaikolojia kwa lolote.
 
Leonardchama7

JF-Expert Member
Apr 14, 2018
2,373
2,000
Binafsi nilimkimbia mwanamke fulani mwenye kipato kiasi,baada ya kuona kila dalili kuwa muda si mrefu nitaanza kutumikishwa,japo tabia ya mtu ni sawa na ushuzi ukijampa tu lazima utoe harufu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom