Je, ulishakuwa kwenye mahusiano na wapenzi wangapi?

Je, ulishakuwa kwenye mahusiano na wapenzi wangapi?

Big Lion

Member
Joined
Jan 5, 2015
Posts
46
Reaction score
15
Leo tulikua tunataniana na rafiki yangu baada ya kunipa taarifa kuwa anataka kuoa ila mpenzi wake kamwambia wakapime HIV kabla ya kuanza maandalizi ya ndoa.

Jamaa anaogopa maana anasema tangia aanze mahusiano secondary hadi leo alishatembea na wanawake zaidi ya 30 na hajawai kupima. Hiyo idadi ilinistua,wanaume noma sijui na dada zetu wanakua na list ndefu hivo.

Hebu tupeane uzoefu.
 

Sio sifa kuwa na wapenzi wengi kabla ya ndoa bali ni kuonyesha jinsi gani wazazi wako hawakuwajibika kukulea vyema kimaadili.

Kuingia kwenye ndoa huku ulishakuwa na wapenzi wengi kuna madhara makubwa sana.

Madhara kwa mwanamke: mbunye inakuwa imelegea sana kama rapurapu hivyo mwanamke hawezi kumridhisha mumewe ipasavyo.Pia mwanamke binafsi hawezi kuridhika kwa maana alishaona nene, embamba, ndefu, fupi, iliyopinda etc, hivyo aliishaota sugu.Mke wa namana hiyo ndio wale wanaochepuka kila kukicha kwa sababu hawaridhishwi.

Madhara kwa mwanaume: Mashine inakuwa haiwezi kusimama sawasa kwa sababu imeishatumika sana kwa wanawake tofauti tofauti na kuathirika kisaikolojia.
Wanakuwa hawana upendo wa dhati kwani walishakutana na K zenye maji mengi, pana embamaba, fupi ndefu, kavu na zenye vin.mb. tofauti hivyo hata aoe mke wa namna gani hawezi kuridhika.Pia anakuwa na laana za kuharibu wenzi wa watu.

Zingatia:Ndoa bora muoane wote mkiwa bikira mnajifunza mapenzi pamoja, mnapeana orgasm baada ya kujifunza, hata mume aki under perform mke huridhika vivyo hivyo kwa mke.wanavumiliana hadi wote wanakuwa wataalamu na kuendelea kufurahia ndoa yao.mme au mke ambaye alijitunza vyema hawezi kuchepuka kirahisi.
 
MUYOOL apo juu umeongea kwa FACTS au HISIA tu?
 
Last edited by a moderator:
inaweza ikatokea ukawa na wengi sana au wachache, itategemea sisi haituhusu sana, cha msingi ni kubadili tabia tu
 
Wengine wanajaza yutong,wengine coaster,wengine hiace.
Ila mimi mmoja tu,alivyonizingua yule dem,hadi sasa natafakari kuwa na hawa binadamu.
Usipokuwa makini na hawa creature waweza kupooza upande mmoja,kuwa na pressha na kufa kabla ya muda wako.
 
MUYOOL

Naona kwenye theory ya use and disuse wewe haupo kabisa yaani umeleta na yako pia ngoja kawambwa aione hii yako aingize kwenye mitahala ya sasa ya miaka 10.
 
Last edited by a moderator:
mie najaza costa, moja hv nachakalika wafike costa ya pili ndiyo niache
 
MUYOOL

Kwenda zako huko, hujui chochote,uliza watu wazima watakuambia.
 
Last edited by a moderator:
Miaka hii abstinence ni kama ushamba hivi....
Ukiamua kuacha ngono unaonekana mshamba...!
 
Kwenda zako huko, hujui chochote,
uliza watu wazima watakuambia.

Naamini nimekugusa vilivyo.Nyinyi ndio wale ambao unakuta mmama au mbaaba anajisifu mimi enzi za ujana wangu nimefanya kila aina ya starehe wakati huo anaongea na wewe amechoka ile mbaya.Unamuuliza ok mara baada ya hayo yote umepata manufaa gani? anabaki anashangaa shangaa.Nikuulize swali kwanini hata madaktari wanasema mwanamke anaweza kupata kansa ya uzazi kama atakuwa na mahusiano na wanaume tofauti tofauti.Usijifariji ili kuficha maovu.
 
MUYOOL
Hilo swali kwangu majibu sina,Kwanza huo ugonjwa uliambiwa ni wa wanawake tu,mbona na nyie unawapata pia?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom