Ebwana ee, zamani nakumbuka hakuna cha shemeji yake simu wala mjomba wake whatsapp wala binamu yake instagram na wasichana walikuwa na msimamo haswaa, usipokuwa mjanja nakuhakikishia utakula kwa...
Staki kusalimia!
Nina stress. Swaumu kali!
Juzi hapa kabla ya mwezi mtukufu kuanza, nimeachwa na manzi, kaniacha kwa kunikejeli sana...kaniambia, unanisumbua kwa kipi ulichokua nacho...ananipa...
Kuna wanaume unasikia kabebesha mimba kila mwanamke atakae tembea nae, hivi huwa mnatumia mbinu gani? Maana sasa hivi kuna kisonono, kaswende na Ngoma Nk.
Magonjwa nikibao lakin unakuta mwanaume...
Wengi wetu tumewahi kuwatamkia watoto wetu maneno makali ambayo baadae tukiyatafakari, hatuamini kuwa maneno hayo yametoka kinywani mwetu. Baadhi ya wazazi huvuka mipaka na kuwatamkia watoto wao...
Sijui ni nini kimetokea lakini wanaume walio wengi siku hizi hawana kabisa mbele ya wanawake zao inafika hatua mwanaume anaendeshwa kama gali bovu
Yaani hata ile nguvu ya kumfokea mwanamke wake...
I recently broke up with my girlfriend because she didn't know how I liked my coffee.
I like my coffee the same way I like my women Without other people's dick in it.
The situation reminds of...
Rafiki yangu wa damu tangu tukiwa watoto hadi utu uzima naomba niwie radhi sana.
Leo nimeona niwape kisa ambacho kilipelekea urafiki wangu na yeye kufika tamati. Siku moja nilikuwa nyumbani...
Natumaini mmeamka salama mimi nina huyu mwenzangu tunamiezi kadhaa sasa tangu tumeanza kuishi pamoja nampenda nadhani na yeye ananipenda ni mtu ambae anasifa zote za kua mme ila tatizo ni moja tu...
Ni maneno ya bi mkubwa flani hivi wa kutoka huko dar aliyeamishiwa huku mji wa serikari dodoma aliyekuwa ananisumbua ili nikamchakate,
Nilishamkataa mara kibao kwa kila mbinu kwa sababu kwanza...
Nasikiaga sana hii, kwamba inaweza ukamtongoza mwanamke akakataa, mimi siamini kabisa, kwanza anaanzaje kukataa?
Au labda kwakua mimi haijawahi kunitokea ndio maana siamini. (inawezekana...
Wakuu, happy Mapinduzi day,
Imani yangu ni kuwa mnaendeleaa vizuri na shughuli zenu,
Wakuu naombeni niwasilishe hili mbele ya wadau wangu wa JF, mnipe mawazo na ushauri wenu maana, naona...
Kwa mwanaume hakuna kitu kinakuwa Kitamu kama mwanamke ambaye anakuwa anatoa sauti kitandani na si kuwa na vikelele tu bali kujihusisha moja kwa moja kwa mwanamke katika kuongea maneno matamu au...
Habari za leo ndugu jamaa na marafiki.
Tatizo langu la mapenzi,poleni kwa usumbufu ila niko katika wakati Mgumu.
Kuna Dada jirani alitokea kunipenda akatengeneza urafiki na Mimi, akawa anakuja...
Wadau nina mtoto wa kike ana miaka miwili sasa ila kinachonishangaza ana wivu wa kupindukia.
Hataki kuona nambusu wala namkumbatia mama yake, anataka akumbatiwe yeye tu. Binafsi nahisi kama ana...
USIITANGAZIE DUNIA MATATIZO YAKO"
Unapokuwa na matatizo kila mtu hutaka kujua unatatizo gani akiwa na lengo lake moyoni. Je huwa tunajipa muda wa kutafakari aina ya watu amabao tnawasimulia...
Habari wana jf, mimi ni kijana wa miaka 32. Nipo kwenye mahusiono ya miaka 5 na binti wa watu mmoja. Nimekuja hapa jf kuomba ushauri kwa wakubwa zangu wenye uzoefu wa hili jambo maana...
Nakumbuka wakati nimetoka nchi za mabeberu miaka kadhaa iliyopita basi kufika home kwa bi mkubwa nakutana na totozi sio mkali ni Wa kawaida fulani sema plate namba kidogo ipo, baada ya muda...
Hili suala ni gumu kidogo ila binafsi ninaushahidi wa familia tatu za karibu. Moja ya jambo la ajabu , hawa second born wanakua na tabia tofauti na wengine wote na mara nyingi ni za kuudhi.
Pili...