Machizi wote wana maumbile ya kiume makubwa

mwanaNjilo

JF-Expert Member
Aug 30, 2018
277
195
Staki kusalimia!

Nina stress. Swaumu kali!

Juzi hapa kabla ya mwezi mtukufu kuanza, nimeachwa na manzi, kaniacha kwa kunikejeli sana...kaniambia, unanisumbua kwa kipi ulichokua nacho...ananipa ni 'Sonyo' moja ivi la dharau, afu kabla cjamjibu ktu akanambia, "Ivi wakiitwa wanaume wenye mashine na wewe utatoka?"...ikaniuma iyo kauli. Ndo akaondoka, nikaachwa kama ivyo yan...inaniuma sana. Ata km ni kwel nna kiba100 lkn aliniharibu kisaikolojia zaidi...

Bhas, ndo nkawa najilinganisha na wanaume wenzangu ili kuona km kweli wakiitwa wenye mashine nitabak pekeangu upande huu afu upande ule wataenda wanaume wote?!

Asa, kwavile cwezi kumwita mwanaume mwenzangu nakumwambia naomba uvue nguo nione saiz yko ili nipime na yangu, nikawa natembelea fursa za kutumia research samples za bure bila kuzilipa pesa yakushiriki kwenye utafiti huu usio rasmi...

Bugurun tazara-chiz mmoja alkua anakojoa ktkt ya road...nikashuhudia bwana...jamaa ana chombo moja ivi, imesinyaa lkn huwez kuishndanisha na yng ikiwa erect times two!!! Doooh! Disappointed! (Basi ile kauli ya ex wngu ikajirudia mara 9999 per second humu kwa head!)...

Sku ingine natoka mishe, bugurun malapa pale, nipo kw public transport siti ya dirisha...naona dada wakihaya kutok kwny gar lile nilokuepo mm akicheka kwa saut na kumwambia dada wa jiran yke kwny lile gar...'ona yule chiz katoa mashine yke nje'...heeh, c nkaona ngoj na mm nichek, duuuh! Kile ni kilema aisee, dyudyu ina bonge ya kichwa, imetuna ivi lkn imelala...haijasimama kisayansi!! Moyo ukazd kunipasuka...ntakua mgen wa nani mm na kiba100 hiki! Nikatamani bora nisingeona saizi ya 'mizigo' iliopo katikati ya TZ-ELEVEN ya wanaume wenzangu (sad enuf!)...

Nikivuta picha walevi wa pombe chafu huku maeneo yakwetu (wale c wanajisaidia kambi yyte!) basi nikavuta pcha maumbile yao yalivyo na maisha yakipuuz wanayoishi...wiki mbil mpk tatu bila kuoga, wanalala nje...hawali vzur wanaokota makopo na vyuma chakavu kupata pesa ya mataputapu...lkn ndo ivo tena, wamebeba miguu ya mtoto kw trousers zao...mimi huku ambae kwenye mitihani ya kila jumamos kule primary xkul mm ndo namba moja, olevel paperz za sebamath nlikua ndo fundi pale azania...tahosa namba mbili kw ubora, advance mzumbe...chuo mlimani kaz (reputable corporate in the country) lkn kwny boxer nimebeba bamia ilokataa kukua...very sad!

Nikalinganishaga na viji research vilivyowah kufanyika na wenye vibamia wenzangu, wakisema kuna uhusiano mkubwa kati ya intelligence na size ya uume wa mtu (male). Lakini mimi cjaishia apo tu, nimeenda extra mile nakusema cc wenye tiny penis tunaweza kua na big brain kweli (I won't argue in this) lkn watu (male) wenye 'mitulinga' heavy they are more likely to become victims of mental illness...severe mental illnesses.

Research sample yngu ilikua ya machizi 11 mpaka 14...alafu wote wamenipa majibu yanayofanana...

Conclusion: MACHIZI WOTE WANA 'DYUDYU' KUBWA KULIKO KAWAIDA. CJAWAHI KUONA CHIZI WENYE KIBA100.

BY_THE_WAY: INANIUMA SANA KUONA NANYANYASWA KWAKUA NA KIBA100
 
Nampongeza huyo Demu wako aliyekuacha, Haiwezekani mwanaume unaanz kutafuta Mbo* z wanaume wenzako ulinganishe na yako. Wanaume huwa tunajiamini hata kama umeambiwa ni ndogo ww amini kuna mwingine kwake itakuwa kubwa.....

Corona ipite Mabaharia tukae kikao na Tutakutoa uwanachama Maana umetuaibisha!
 
Back
Top Bottom