Kifaru86
JF-Expert Member
- Apr 22, 2017
- 1,734
- 3,802
Sijui ni nini kimetokea lakini wanaume walio wengi siku hizi hawana kabisa mbele ya wanawake zao inafika hatua mwanaume anaendeshwa kama gali bovu
Yaani hata ile nguvu ya kumfokea mwanamke wake au kumuonya hana kabisa mwanamke ndo ana sauti ndani ya nyumba lakini pia hata ndani mahusiano wanaume wengi pia hawana sauti ule uwezo wa mwanaume akiongea kuwa na sauti haupoo.
Tatizo ni nini