Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nimekumbuka mbali sana unakuta uko na binti/mke/mpenzi wako Kapokea simu labda anaongea na rafiki yake yaani maongezi yao utafikiri mtu na dada yake, ma love ya kutosha. Kusifiana n.k au utakuta...
6 Reactions
11 Replies
1K Views
Kuna mshkaji wangu mmoja tulisoma wote. Katika harakati za kutafuta maisha tukawa tumepotezana kidogo. Jirani kidogo na nnapoishi kuna jamaa tumezoeana anaishi na familia. Na hasa mazoea yalianza...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Nilianza nae vzr miezi kadhaa akapata ujauzito akiwa chuoni. Akazaa kuendelea na chuo na sasa ameshahitimu na mtoto ana miaka minne. Nilitarajia akimaliza chuo nifanye taratibu za kuishi nae...
3 Reactions
56 Replies
5K Views
Natumaini nyote mu wazima wa afya. Zikiwa zimebaki siku kadhaa nirudi mkoani kutulia na wife ambaye miezi kadhaa ilopita nilibahatika kutoa mahali kwa hiyo naweza nikasema naenda kuoa rasmi...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ulipofikia uamuzi wa kuoa ama kuishi na Mwanamke account yako ilikuwa inasoma shilingi ngapi? Tunataka tujue tu na sisi tujipangeje
0 Reactions
12 Replies
1K Views
MODS NAOMBA MSIJE MKAUNGANISHA UZI HUU. Better days, Nice friends, Beatifull Mommonts.. Maisha yanaenda kwa kasi sanaa, kuna nyakati kipindi hicho kabla dunia haijakubadilisha na kukukalibisha...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari za jioni wana MMU, Naomba kufahamu juu ya hili swala. Je, unaweza ukawa Mchepuko, Side Chick, Kibenteni na usiwe na wivu [emoji848][emoji848]?
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Ni wiki sasa nalazimisha penzi kwa jirani yangu hapa ofisini lakini majibu nnayokutana nayo Ni hayo kila kukicha. Sikati tamaa. 'Sitoweza kuwa nawe kwa sababu umeoa, namuogopa Sana mume wa mtu'...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Mwaka 2011, nilibahatika kuingia kwenye Mahusiano na Binti mmoja kwa Jina la Angel. Mimi nilipenda kumuita Malaika. Alikuwa ni msichana wa kawaida, lakini kama akikupita au mkitazamana kama ni...
32 Reactions
108 Replies
11K Views
Katika pilika pilika za mapenzi kuna makossa ambayo tunayafanya na kujuta sana baadae na kutamani hata wakati urudi nyuma ili uweze kurekebisha makosa. Mie nilikuwa na demu mmoja alinipenda sana...
3 Reactions
26 Replies
2K Views
Mu, hali gani wakuu? Nafungua uwanja tuwe huru kuelezana ukweli vile ambavyo kila mmoja wetu angependa kuumbwa pengine tofauti na alivyo. Kwa mfano humu JF tupo Wanaume na Wanawake, hizi jinsia...
4 Reactions
46 Replies
3K Views
Wakuu nimedate na binti wa kinyaturu. Sasa nimeitwa kule nikatambulishwe nisaidieni norms zao kule nisije kosea watu. Mimi kwetu Lindi
5 Reactions
222 Replies
39K Views
Kiukweli mapenzi yanauma sana jamni acheni tu, kuna mwanamke nipo nae sasa tuna miezi mitatu, tulikutanaga instagram ndipo tukawa tunawasilana hadi baadae tulipoingia kwenye uchumba, bahati...
3 Reactions
59 Replies
7K Views
Yamebaki manungayaembe yanahangaika.
0 Reactions
117 Replies
14K Views
Nimezaa na mdada flani hivi lakini tunaishi mbalimbali Kila mmoja na shuhuli zake. Yeye ni mjasiliamali na Mimi ni mwajiriwa. Baada ya kusumbuana kuhusu matumizi ya mtoto ndipo nilipomshauri...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Habar ya swaumu wakulungwa Baada ya salamu naomba tujuzane ulikuwa ukihisi nini au kufikiria nini baada ya kukubaliwa kwa mara ya kwanza na mwanamke au mwanaume uliyekuwa unamfukuzia siku nyingi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kuna siku moja nilienda kutembelea mkoa wa Tanga, sasa ile mida ya jioni by saa moja hivi usiku nikasema ngoja nitembee tembee kwa miguu ili niweze kuufahamu mji vizuri. Katika mizunguko yangu...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Imenilazimu kufungua akaunti mpya kwa sababu nyingi kidogo. Moja kwa moja kwenye matatizo yanayonisibu, huyu bwana niko naye muda wa miaka karibu minne sasa ila tunakaa mikoa tofauti mimi niko Dar...
0 Reactions
71 Replies
6K Views
Habari, natafuta mke wa kuoa, awe daktari/au anaefanya kazi kwenye medical field (sio nursing) mwembamba Miaka hadi 28 Awe anakaa na ni raia wa TZ Asiwe mke wa mtu au asiwe na mtoto au aliewahi...
4 Reactions
68 Replies
8K Views
Ninayempenda hanipendi. Okey lakini habari zenu. Maisha bwana... Yaani yule ambaye unpenda Wala Hana time na wewe. Kwanini nasema hivyo. 1. Kwanza hanitafuti mpaka nimtafute Mimi. 2. Hata...
2 Reactions
23 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…