Naomba mbinu za kumuacha mwanamke ninayempenda

mzee wa kasumba

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
1,432
2,892
Ninayempenda hanipendi.

Okey lakini habari zenu. Maisha bwana... Yaani yule ambaye unpenda Wala Hana time na wewe.

Kwanini nasema hivyo.

1. Kwanza hanitafuti mpaka nimtafute Mimi.

2. Hata akiwa na shida hambii , na nikitamani kumsaidia anasema tu ACHA

3. Hataki nipajue kwao

4. Ukituma mesj anajibu kav kav (bila rutba)

5. Na mengineyo mengi.

NAOMBA MBINU ZA KIJASIRI niweze kumuacha, maana kwake nimekufa nimeoza lakini ananitesa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
duuuuh poleni sana mkuu ila nikuulize kitu?
Ninayempenda hanipendi.

Okey lakini habari zenu.

Maisha bwana... Yaani yule ambaye unpenda Wala Hana time na wewe.

Kwanini nasema hivyo.

1. Kwanza hanitafuti mpaka nimtafute Mimi.

2. Hata akiwa na shida hambii , na nikitamani kumsaidia anasema tu ACHA

3. Hataki nipajue kwao

4. Ukituma mesj anajibu kav kav (bila rutba)

5. Na mengineyo mengi.

NAOMBA MBINU ZA KIJASIRI niweze kumuacha, maana kwake nimekufa nimeoza lakini ananitesa......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo ni mapenzi ya upande mmoja tu

hupendwi hapo unapoteza muda wako bure
 
Embu fikiria jinsi dunia ilivyo na kina dada wengi na wengi zaidi ni single wanatafuta mwanaume wa kuwapenda na kuwajali lakini wapi hawapati, nawewe unapoteza muda kumpenda mtu asiyekupenda, funguka mkuu maisha ni mafupi usikubali kuyaspend kwa vitu vinavyokuumiza, piga chini ukiwa lonley tafuta mwingine hata kama umpendi upunguze upweke maisha yaende.
 
Apo sawa umeeleweka mkubwa na wanawe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: vvm
Acha kumtafuta(anza taratibu kama kila siku ulikuwa unamtafuta labda kutwa mara tafu fanya mara mbili asubuhi na jioni, hivyo hivyo hadi unaacha kabisa)

ila kikubwa zaidi mtafutie mwenzake akikolea huyo mwenzie temana nae

au usimwambie chochote yaani unamuacha kimya kimya
 
Ntatumia hii mbinu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom