Sure: ata ukiwaambia wachache wataishia kukuhurumia tu!, na wengi hawatojari kabisaa. Haitokusaidia ukiwaeleza umewahi kutoa mimba mara nyingi
Haitokusaidia ukiwaeleza huna uwezo wa kumpa...
Wakuu Mimi ni muajiriwa Nina miaka 8 kazini,
Wakati naanza kazi wazazi wangu hawakuwa na makazi bora hivyo nimekaa muda nikaamua kuwajengea nyumba bora japo Mimi sijajenga ya kwangu bado...
Wanajukwaa niseme tu ukweli.
Mwenzenu hali niliyoifikia ya kimaisha ya kuhusu uchumi,majukumu na mapenzi ni ngumu sana.Yani mambo hovyo hovyo yanaenda. Ni siku 3 Sasa kula nashindwa, kichwa muda...
Ilibidi nikatize zoezi nisije shitakiwa na kwa kosa la mauaji. Kabla ya hapo niliulizwa “nimejifunzia wapi?”
Tafadhali wakuu wazoefu, nini maana yake? Je, hatua niliyochukua ni sahihi?
Inanipa shida nina miaka 26, mwanaume anayenipenda ana 24. Hii ya mara tatu sasa namkatalia lakini hachoki anaonesha malengo na mimi anasema umri sio tatizo ila kimaumbile yeye mwanaume ana mwili...
Ndugu zangu Nina mwanamke wangu huyo ni full mjeuri mkigombana kidogo anaweza kukuchunia mwezi mzima au week nzima hajibu sms zako, hapokei simu zako na hata akipokea simu zako au akijibu meseji...
Wazazi wangu wamekuwa wakimsifia X wangu kwamba tuliendana kwa kila kitu. Tulikuwa na uchumba wa miaka saba, alifanikisha kutoa barua tu na naambiwa kuwa hata kama yeye ndo aliyeniacha lakini bado...
Wanabodi habarini, ninahtaji msaada wa ushauri kwa experienced people whether wamefanya au ona kwa macho au wenye kuwa na uzoefu
Kumekuwa na mazoea ambayo baadhi yetu yanasokota mioyo yetu hasa...
Kutiana Moyo na Kutakiana Mema
Jifunze kumtia moyo na kumtakia mema mwenzako. Mpenzi wako anapofanya vizuri mpongeze iwe mbele za watu au hata unapokua nae peke yenu. Mruhusu mpenzi wako ajue kuwa...
Upo katika relationship halafu EX (mwanaume/mwanamke) wako anapost picha ya EX wake ina caption ya "I miss you so much"
swali
1. Utaifafanua vipi hiyo issue?
2.Utachukua uamuzi gani?
3.Ni sawa...
Katika pita pita yangu kwenye mitandao nimekutana na hii,nafikiri inaweza ikapata msaada zaidi kwa wale wana JF ambao nao wanatafuta wenza. Naomba niquote:
"Mimi naitwa Raymond. Ni mtanzania na...
Utakuta mwanadada anazungusha kiuno disco au kwenye shughuli uswazi yani kinazunguka kama feni. Sasa dada huyo huyo mchukue mpeleke chumbani kisha mcheze mziki kidogo utaona anavyozungusha. Sasa...
Hata kama ni mali yako, kiungo chako si sababu mtu kakufahamu siku mbili tatu anaomba mfanye mapenzi unampa na mauno yote bila hata woga unadhani hiyo itakuongezea credit?
Wanaume wenye akili...
Nina mahusiano na mwanaume ambaye tupo shule moja, anaonesha kunipenda sana ila mimi nipo naye kwaajili ya kupunguza stress zangu tu ila nawaza siku akiomba mzigo sijui itskuwaje
Shule...
Mapenzi ni moja ya mahitaji muhimu ya wanadamu, kila mmoja wetu ahahitaji kupenda na kupendwa, hapo hamna majadiliano ndio jinsi tulivyoumbwa. Katika enzi za mababu zetu, watu walikuwa wanaishi...
USHAURI TU KWA KINAKAKA (TAKE IT OR LEAVE IT)
UNAPOANZA UHUSIANO MPYA EPUKA WANAWAKE WA AINA HII
1.DEMU WAKO WA ZAMANI-
Ni vizuri kutorudia mahusiano ya zamani na zaidi kama kwenye mahusiano yenu...
Tusidanganyane, kwenye mapambano ya maisha yako au uhai wako uko mwenyewe. Kama umeoa au kuolewa na mna watoto jua ya kuwa mko wenyewe. Sisi ambao tunajifanya ni marafiki zako, sijui wapambe...
Habarini wakuu, bila Shaka nyote mu wazima wa afya tele. Sasa ndugu zangu katika tafuta tafuta zangu nimefanikiwa kumwona binti mmoja wa kabila la kinyamwanga na nimetokea kumpenda.
Nataka...
Huyu wifi sijui alikuwa na nia gani? Kama unavyojua katika kumfatilia mwanaume kuna siku dada ake kamtumia text mdogo ake mimi nisijue kama yeye maana mimi nilikuwa na no ya dada yake nyingine sio...