Penzi limevurugwa na dawa za kishirikina

Penzi limevurugwa na dawa za kishirikina

Miaka 9 ya uchumba?

kila siku unamfunua mapaja mtoto wa watu

Kakuacha baada ya kuona huna muelekeo wa kuoa acha kusingizia ushirikina fikiria labda ulianza nae mahusiano akiwa na miaka 18 jumla hiyo 9 mliyodumu nae[emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miaka 9 ya uchumba? Mlianza uchumba mkiwa na miaka mingapi?
 
hapo hamna ushirikina wala nini, yaani miaka 9 ya uchumba? inshort kashakuchoooooooooka
 
Jamani nilipendana sana na x wangu lakini naisi penzi letu liliingiliwa na watu ili tuachane (kishirikina), ghafla tu vituko vikaanza. Akaanza kunioneshea vituko na tumeachana bila sababu ya msingi, yani sababu haina uzito ukiachana na vituko tulidumu miaka 9 ya uchumba kwa kugegedana tu dalili zilionesha tutaoana lakini imekuwa tofauti.

Alihaidi kutafuta mahari maana barua alishatoa.
Doh😳 miaka 9 ya uchumba ulikuwa unafanya research gani mkuu
 
 

Attachments

  • VID-20200509-WA0026.mp4
    4.6 MB
Back
Top Bottom