Alisema nisimtafute lakini ameanza kunitafuta yeye...

Decision

Member
May 6, 2020
36
36
Wazazi wangu wamekuwa wakimsifia X wangu kwamba tuliendana kwa kila kitu. Tulikuwa na uchumba wa miaka saba, alifanikisha kutoa barua tu na naambiwa kuwa hata kama yeye ndo aliyeniacha lakini bado atakuwa anaumia kwasababu kuna vitu alishavizoea kutoka kwangu.

Tumebahitika kupata mtoto mmoja wa kike. Aliniambia tusitafutane lakini juzi ameulizia maendeleo yangu na ya mtoto.

Je, imekaaje hii?
 
Aidha huko aliko kunafuka moshi, akilinganisha na kwako anaona alikuwa mikono salama hivyo anaanza kurudisha majeshi, ama kakumbuka tu kupasha kiporo alichokisusa.
Ety eh ata mi naona mana aliniambia tusitafutane mi nimekausha kaanza mwenyewe kutuma text mana alinimbia mtoto akiwa na shida nimwambie maza ake sasa ananitafutia alijua mimi ntashindwa kuuchuna au.
 
Ety eh ata mi naona mana aliniambia tusitafutane mi nimekausha kaanza mwenyewe kutuma text mana alinimbia mtoto akiwa na shida nimwambie maza ake sasa ananitafutia alijua mimi ntashindwa kuuchuna au.
Daah, pole Sana.
 
Back
Top Bottom