To the beautiful flower....
Ninatumai umzima wa afya....Ni kipindi kirefu kimepita, toka uamue kwenda mbali na kuacha moyo nahisia kwenye majonzi, umeacha roho ndani ya moto pengine umeacha mwili...
Habari ndugu,
Napenda kueleza kisa kimoja kiliwahi kunitokea enzi bado nina mihangaiko mingi katika mahusiano. Kisa chenyewe kilikuwa kama ifuatavyo;
Nilibahatika kupata ajira kwenye Taasisi...
Wadau ninaomba kujua ili machine ya mwanaume iitwe kibamia iwe chini ya inchi ngapi? Wa kwangu ukisisimana in NchI sita, lakini wanawake wengi wamekuwa wakiniambia mbona kadogo hivi. Hata hivyo...
Loving a Scorpio means understanding what they don’t say because so much of a Scorpio is shown through actions and not words. It’s being able to read them when they are uncomfortable but they...
Wakati huu tupo likizo (kwa lazima tu utakaa nyumbani) unakuta kijana yupo busy anatafuta vumbi la Congo , jaza kichupa (mihogo ,karanga na kipande cha nazi) na kiwanja kikali cha kunywea nyagi na...
Kama kawaida kwa sasa nimeamua kuwasaidia vijana kwa kuanzisha mada zitakazo wapa uzoefu wa kuamua jambo kabla hawajalitenda kwa kusoma maoni ya wenye uzoefu. Juzi kati naamini wengi walipata...
Habari za leo wakuu,
Unajua nilikua nikijiuliza kila wakati kuhusiana na hawa mabinti wa kinyamwanga mara baada ya kutekwa na binti mmoja wa Kinyamwanga. Hawa mabinti, asilimia kubwa wana viuno...
Wakuu wazima?
Unajilinda au unachapa kazi ?
Wengi kwenye ndoa au mahusiano huwa wanashindwa kujua au kufahamu maeneo gani akimshika au kumchezea mwenzie hupata raha sana na kufanya mchezo mzima...
Wakuu kwa mila na desturi zetu imezoeleka mwanaume kumfata mwanamke kwa ajili ya kuanzisha mahusiano.
Kwa sasa wanawake wameongezeka sana kwa idadi ikilinganishwa na wanaume. Tumefika pahala kuna...
Hey wananzengo!
Kama mada inavyojieleza hapo
Hili swala huwa sometimes naliwaza na kujiuliza nini chanzo hasa. Unakuta mtu kadate na binti Fulani,mwanzoni mwa mahusiano yao walikuwa na maelewano...
Hii ni Mipango ya Ndoa yangu:
Nifuate uone kama utapotea.
S01E1.
kwanza kabisa napanga nikifkisha miaka 35,nioe mwanamke mwenye miaka 20 (Mimi nimzid miaka 15), hii itaongeza heshima sana, yaani...
Wana JF nina tatizo la domo zenge na umri wangu wote huu (miongo mitatu naa) sijapata mchumba wala mke!!
Nahitaji mchumba...jinene hivi lakini si unene wa mchina, miaka 30 mpaka 35, elimu fomu 4...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 22 nasoma Chuo Degree Mwaka wa Pili, kuna binti mmoja mama yangu alinambia ni mzuri ana tabia nzuri, sema mimi nikawa napotezea sikuwa na haja hiyo. Siku moja...
Utaratibu wa kuwasha na kuzima mishumaa pamoja na ukataji wa keki umekuwa ni wakawaida kwa muda sasa. Ningelipenda kuuliza kwa watakao kuwa wana ufahamu juu ya hili suala.
Nini maana yake?
Na...
Wajamani namshukuru Mungu, kwa sababu ya mengi.
Niliteseka sana kupata mwenzi wa maana kabisa.
Humu nimeachwa mara kibao wengine wananiblock kisa eti nawasumbua sijakuwa ila leo namshukuru Mungu...
Mimi ni mgeni hapa JF ila nimekuja kwa nia moja mume.
Nahitaji mtu ambaye yupo serious na maisha.
Ila mimi nampenda mwanaume ambaye anajua anachotaka.
Ajiheshimu sijali umri najali kujua yeye...
Mahusiano yana gharama sana, kama hauko tayari kubeba hizo gharama ni bora usiingie kwenye mahusiano. Na hizi gharama zinajitokeza pale mmeshakuwa wawili ama mmeshazoeana vya kutosha. Na hizi...
Habari zenu wadau, Happy New Year
Siku hizi kuna kamtindo ka wadada maeneo mbalimbali ya Tz mfano hata hapa Dar hupendelea kuvaa pete lakini pete hiyo ukiichunguza unakuta si ya ndoa inafanana...
Asanteni kwa haya.
1. Mmenichagulia gauni zuri la maids .
2. Mmenipa support siku zote hizi kwa ushauri na mengine.
3. Nawatakieni amani na furaha.
Leo ninafuraha nimepewa visa ya Finland katika...