Tajiri Mapesa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2020
- 707
- 751
Habari za leo wakuu,
Unajua nilikua nikijiuliza kila wakati kuhusiana na hawa mabinti wa kinyamwanga mara baada ya kutekwa na binti mmoja wa Kinyamwanga. Hawa mabinti, asilimia kubwa wana viuno vyembamba mnoo. Ndio nikaona bora nije niwaulize wajuvi wa mambo nini sababu iliyopelekea hivi.