papag
JF-Expert Member
- Jul 31, 2009
- 1,137
- 1,608
Wakuu wazima?
Unajilinda au unachapa kazi ?
Wengi kwenye ndoa au mahusiano huwa wanashindwa kujua au kufahamu maeneo gani akimshika au kumchezea mwenzie hupata raha sana na kufanya mchezo mzima kuwa wa furaha kwa pande zote mbili.
Siku zote mkiridhishana vizuri kabisa kabisa ndoa au mahusiano huwa kwa asilimia kubwa yanadumu.
Nawasilisha niko tayari kukosolewa kwa huu ufahamu wangu so far.
Stay blessed
Sent using Jamii Forums mobile app