Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Leo asubuhi kwenye mishale ya saa Tano (5 )na nusu " nilipokea simu toka kwa Mmoja wa rafiki zangu wakaribu (Joph) sio jina halisi. Ajabu ni kwamba alikuwa amenipigia na namba ngeni tofauti na ile...
2 Reactions
169 Replies
17K Views
Wasalaam wadau wa humu, sina mengi Leo naomba niende moja kwa moja kwenye dhumuni. Kuna chaliangu ana mpenzi wake saiv wana miaka miwili katika mahusiano na wanaaminiana sana. Sasa Jana dem...
3 Reactions
34 Replies
3K Views
Rejea mada tajwa hapo juu, Nimekuwa nikijiuliza kwa muda mrefu kwa nini sivutiwi na wanawake mnaowaita warembo! Kwanza wengi wao kichwani siyo wazuri sana faragha ndo kabisaaaa! Sijui wenzangu...
6 Reactions
44 Replies
6K Views
WANAUME TUNAMARAFIKI WAZURI SANA KULIKO WANAWAKE... Mume na Mke walibishana kila mmoja akijigamba kuwa ana rafiki mzuri. Ili kumaliza ubishi, wakaamua kuwapigia Marafiki zao kwa loud speaker...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Natumai hamjambo wakuu na weekend inaendelea uzuri. Tukiwa tunaendelea kuliombea taifa dhidi ya corona, karibuni hapa tubadilishane mikasa ya mapenzi ilosababisha kufail/kufanya vibaya wakati...
4 Reactions
40 Replies
4K Views
Nakumbuka enzi hizo nilikuwa nateseka kupata mtu halafu nakashifiwa na sio mimi tu baadhi ya wadada humu ila nikija fikiria nilikuwa napigana humu ndani kama napigania uhuru haswa sijajua kama...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Si mara zote uhusiano wa ndoa ni matokeo ya upendo kama inavyotarajiwa. Yapo mahusiano mengi tu ya ndoa ambayo kimsingi ni arrangements za watu kujipatia mahitaji mengine kabisa yasiyohusiana na...
7 Reactions
22 Replies
3K Views
Ni kwamba 99% ya Wanawake Wanaotongozwa kwa Kudanganywa na Wanaume huwa wanawakubali haraka sana lakini pia 99% ya Wanaume ambao huwa wakiamua kuwa Wakweli kwa Wanawake pale wakiwa Wanawatongoza...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakati uliopita niliandika uzi ambao ulikuwa unaelezea kuhusu mwanaume anayetumiwa na anayependwa na niliahidi kuandika pia kuhusu upande wa wanawake pia. Kwa wanawake ni hivi; MWANAMKE...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Wanajamvi nina girlfriend tunapendana sana, tuna miezi kama mitatu sasa mwenzangu ananiforce ndoa nilivomuambia tusubiri akapanic ila baadaye tukaenda sawa. Ila sasa hivi ananambia anafeel...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Kuna binti alikuwa mpenzi wangu, huyu bint baba yake ni kamishna katika jeshi la police, Sasa kuna kipindi tulikorofishana nikamnasa makofi na hata hayakua makofi ya nguvu nilimgusa gusa tu...
10 Reactions
152 Replies
12K Views
Juzi hio ijumaa may 22. Kama kawaida yangu nipo addicted sana na mazoez.. Baada ya kukata wese asubui.. Jion kama kawa lazma nicheze mpila jion ( saa 10) Au kama nimebanwa sana bas huwa nakimbia...
9 Reactions
87 Replies
9K Views
Wakuu, kuna clip ina trend, jamaa analia kisa Rehema. Naomba anaeujua wimbo anisaidie, nimejaribu kuutafuta kwa Shazam, imeshindikana.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habarini za leo wakuu, natumai mko salama. Wakuu leo nimeamua kuwafichulia siri ya maisha yangu tangia 2017 mpaka leo 2020. Leo hii wakuu nimetimiza miaka minne tangu nisitishe biashara ya...
6 Reactions
34 Replies
3K Views
Wakuu heshima kwenu. Niende kwenye somo tajwa hapo juu, leo mishale ya saa tisa alasiri mjini morogoro nilianzia Safar kuja jijini Dsm(jiji la Makonda). Tukiwa tumetoka mwezi mtukufu hata...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Binti abadili dini kutoka uislamu kuingia ukristo huko nchini Uganda kumfuata mchumba wake ambapo baba yake ambaye ni Shekh mkubwa tu alimsindikiza kanisani kumtoa (giving away) ili aolewe na...
8 Reactions
63 Replies
6K Views
Ukikaa ukatafakari matukio uliyokwisha kutana nayo kwa wanawake utaungana na mimi. Hawa watu wanamaajabu mengi na siku zote hawaishiwi maajabu Kuna jambo moja kwangu nataka leo mnisaidie...
8 Reactions
33 Replies
4K Views
Unakuta kijana baada ya kuwa na familia tunaita mama mzazi aje kututembelea kutoka kijijini. Sio wazo baya sana. Ila baba unamuachaje peke yake? Umekuwa agent wa kuwatenganisha. Eti unasema mama...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Kumekuwa na majadala mkubwa kuhusu kauli ya Dr. Chrisiona Mauki kwamba wanaume wasioacha kitu nyumbani na kila siku wanatoka asubuhi na kurudi jioni ni wasanii. Kauli hii imeibua mjadala mkubwa...
14 Reactions
25 Replies
4K Views
Ukisikia usemi “ Maskini akipata matako hulia Mbwata” basi mimi ni mfano halisi wa hili, 2010 mwishoni kabisa nikiwa bado bwana mdogo tu, around 20’s na Bahati ikawa upande wangu nikawa tayari...
6 Reactions
37 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…