Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wanaume wa Tz hawakuambii it's over ila utapigwa matukio mpaka utakimbia mwenyewe.
1 Reactions
6 Replies
985 Views
Iam a : man Country : Tanzanian City : Dar es salaam. Seeking a : Woman Looking for : Marriage serious. relationship. Marital...
4 Reactions
105 Replies
7K Views
Naitwa Iman Umri miaka 26 Nimejiajiri nb. Mkurugenzi wa Kampuni Makazi: SHINYANGA SIFA ZA MSICHANA HUYO - Awe mkristu -black beauty - awe mtiifu - awe mkweli -urefu wa kati -umbo la kati -...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Kuna msichana ambae nampenda sana pengine hata yeye ni shahidi uhusiano wetu una miezi kama minne hivi tumekuwa tukiwasiliana kwa muda mrefu sana kiasi kwamba muda mwingi alikuwa akiifanya simu...
1 Reactions
224 Replies
28K Views
Love me Till The End. Pamoja na kuahidiana Mambo mengi na kupendana mpaka kiama changamoto za maisha ziliwatenga. Alisikika baharia mmoja akimweleza mwenzake maswahibu ya mahusiano yake YALIYO...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Salamu wakuu. Kwakweli hili jambo limeniuma Sana Tena Sana,yaani nimebaguliwa rangi na mbongo mwenzangu Tena akiwa na ujasiri kabisa. Yeye Ni black beauty Fulani na figure matata na si...
2 Reactions
61 Replies
5K Views
Ninaposema kum-win mwanamke naamaanisha kumfanya akukubali, kama ni mtoto mu-win mama. Kama ni mume mu-win mke, kama uko kwenye ndoa mu-win mama mkwe Kama ni mfanyakazi mu-win mke wa bosi...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Mimi ni kijana wa kiume ambaye nipo kwenye mahusiano na binti wa kabila X. Binti anaupendo kwa kweli na anajua kupenda haswa ila changamoto iliyopo wazazi wangu kila nikikaa nao wananionya sana...
2 Reactions
27 Replies
5K Views
Achana na chura,rangi na sifa zingine kedekede kama unataka ufurahie uhusiano. Tafuta mwanamke mshamba ambaye amekutana na mamburura wasiojua mapenzi hawajui pakuanzia wala pakuishia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mpe...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
1::Nancy -Muongo 2::Julieth -Kicheche 3::Mary -Anapenda waume wa kitambo kirefu 4: Caroline-Anapenda kusikilizwa kuliko kusikiliza 5:: Hellen- Anabusara anapozugumza na mpenzi wake...
0 Reactions
34 Replies
16K Views
Direct to the point Kumekuwa na nyuzi nyingi humu ziliezea janga la wanawake wanapenda kwenda 0712... Na wimbi hili limeongezeka kwa Kasi hasa kwa Taifa letu pendwa Tz nachukia sana huu usodoma...
1 Reactions
32 Replies
4K Views
Ndungu zangu nimejitolea kwenu bila woga,hofu Wala mashaka natambuwa wazi si kila mmoja wetu atavutiwa na hili Ila naamini Mungu ni mwaminifu naweza fikia malengo katika mazingira haya. Kiukweli...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Just like a warm hug on a cold rainy day, a compliment when you are feeling down or a heartfelt present: falling in love is one of the few pleasures of this cold world. It can be as blissful as it...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Iko hivi: Nina mchepuko ambao tuna miezi kadhaa sasa ila sijawahi kumuonesha kwangu, kwa upande wangu Nina mke na watoto wawili. Kwa wiki kadhaa nipo mkoa tofauti na familia yangu, na Leo mpaka...
1 Reactions
58 Replies
6K Views
Samahanini kwa mada yenye ukakasi kiasi! ila ninashangazwa na kufadhaika! Mchumba anatoa mashuzi mno....yaani mno! akilala kidogo tu tatizo linaanza mpaka anapoamka. unaweza kumuamsha na kuzuga...
2 Reactions
129 Replies
12K Views
Miaka mingi iliyopita kidogo baada ya kuhitimu chuo, nilianza kutafuta ajira za hapa na pale..kutokana na ufinyu wa ajira nilitafuta shule moja nikawa nafundisha kwa hapa Dar es salaam. Baada ya...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Searching for a rundown of extraordinary spouse characteristics? Possibly you're a young lady who needs to encapsulate these characteristics for your beau, or perhaps you're a sweetheart prepared...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
We mrembo, unatabia nzuri, kila mahali ukipita watu wanakusifia, lakini mahusiano ni ziro. Unafikiri ni kwa nini uliachwa na mpenzi wako wa kwanza? === Unaweza pia ulikuwa handsome una tabia...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Leo asubuhi kwenye mishale ya saa Tano (5 )na nusu " nilipokea simu toka kwa Mmoja wa rafiki zangu wakaribu (Joph) sio jina halisi. Ajabu ni kwamba alikuwa amenipigia na namba ngeni tofauti na ile...
2 Reactions
169 Replies
17K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…