Watu humu je hii hali imekutokea?
Mimi kwangu ndio nilikuwa namchumba ambaye nilikuwa naye serious kimapenzi ila kuna siku nafua nguo zetu kucheki mifuko nikakuta condom kobox kizima na risiti ya...
Wanabodi habari,
Uzi huu ni maalum kwa watu wenye uzoefu wa kuwa na mahusiano na wanawake waliokeketwa, na pia wanawake waliokeketwa. Katika pita pita zangu niliwahi kukutana na mwanamke mrembo...
Wadau,
Nilikuwa nasikia tu mimama inatoka na serengeti boys, hii nimeishuhudia live. Kwanza alikuwa houseboy wake, sasa ni mumewe, wanaenda kula, kuoga, kukaa na kulala pamoja.
Jiran mdakuzi...
Mapenzi ya siku hizi yana-revolve kwenye hio concept, mwanaume anakutongoza, humtaki ila kumwambia hapana huwezi, ila anaonekana ana vihela kwahiyo unaona bora ule vihela vyake huku kutoa papuchi...
Habari ya Jumapili,
Katika maisha tunayoishi watu wa aina mbalimbali wazee, watoto, vijana na kila na kila mmoja anapaswa kushirikiana na mwenzake katika mambo fulani fulani, ila linapokuja...
Wanasema tabia ni uhalisia wa maisha ya mtu iwe mbaya au nzuri ndio uhalisia wake. Kama ulikuwa na mchumba mlevi na ukakubali kuolewa nae ukifikiri ukishaolewa utamfanya aache ulevi umekosea...
Mtu umekuzwa na ndugu amekupeleka mpaka shule lakini ukishajitambua unaona kama alikuwa anakutesa. Sikatai kuna shida za hapa na pale ambazo pia hata wazazi wako ziliwashinda.
Jaribuni kuangalia...
Mahusiano yanatakiwa yawe na furaha na matumaini. Sasa unakuta watu wako kwenye mahusiano yasiyokuwa na furaha au matumaini ya kufikia hatua fulani, unakuta kunakuwa na upenzi au uchumba sugu...
Usije ukadharau wazazi wako mkuu, Wazazi ni watu wazito katika maisha yako,hakuna mwenye mwisho mzuri kwa kuwadharau wazazi wake, hiyo ndo kanuni ya ulimwengu.
Jiulize tu kuwa hapa duniani ulipo...
Habari wanadimba,
Mke wangu amekuwa akimlalamikia sana housegirl wetu kuwa ni mvivu, wapangaji wanamlalamikia na kadhalika. Sasa anataka kumrudisha kwao. Wasiwasi wangu ni kwamba atakayeletwa...
Za siku nyingi wakuu?
Mimi mzima bhana japo tuhoma twa hpa na ple hatukatiki mwilini ila Mungu bado ananipa uhai. Alhamudulillah..
Lengo la uzi huu sio kujisifia wala kuudhi watu humu. Ninataka...
Habari wana JF,
Mimi nimeoa mwaka jana na tuna mtoto mmoja. Tunaishi vizuri tu na mke wangu. Tunapendana. Tatizo lililopo ni kwa mama mkwe. Kwa muda mrefu amekuwa akinitega kimapenzi. Akija...
Habari zenu,
Leo ningependa kuwalaelezea kidogo kuhusu mada hii ya mapenzi, Usaliti na Kisasi.
Naam,sote tunaelewa mapenzi ni nini, ila je umeshawahi kujiuliza uhusiano uliopo baina yako na...
WENGI wakiwaza kuhusu kufunga ndoa, mawazo yao huenda moja kwa moja kwenye namna sherehe ya harusi itakavyokuwa! Anataka gari kali la maharusi, ukumbi wa gharama, vyakula vya bei mbaya, wasanii...
Hivi umeshawai kumwona mtu ukampenda ghafla kupita kiasi? Toka weekend iliyopita nimejikuta mwenye mahudhurio yaliyotukuka kwenye bar moja huku kwetu sababu ya bintu mmoja maid hapo bar.
Anasura...
PDA-Mwanamama Kara King,aliandika kitabu cha ,If Men are Dogs ..This Is Animal Control. The Power Of The Pussy ,How To Get What You Want From Men:Love ,Respect ,Commitment ".
Ukurasa wa 61...
Habari za humu wanajamii.
Najua huku wapo watu wa aina mbalimbali walioolewa na wale ambao bado na kwa namna moja au nyingine wanahitaji wapate wenza wao kupitia huku au hata kwingineko.
Binafsi...
Habari wadau!
Kuna tatizo ambalo lipo humu JF Ila wengi hawawezi kuona kama ni tatizo usipotizama kwa usahihi. Kumekuwa na ongezeko la VIJANA wake kwa waume KUTAFUTA WACHUMBA kupitia mitandao ya...
Habari zenu wanaJF
Ni kwa muda mrefu sijaweka bandiko humu jamvini takribani robo mwaka sasa.
Tukiachana na hilo,nimebahatika kupata kasichana kabichi kabisa yani kama embe bichi la kulia na...