Hivi kwanini uolewe au kuoa mtu ambaye unajua hata kwenye ndoa atakunyanyasa?

eden kimario

eden kimario

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2015
Messages
9,047
Likes
14,180
Points
280
eden kimario

eden kimario

JF-Expert Member
Joined Jun 13, 2015
9,047 14,180 280
Wanasema tabia ni uhalisia wa maisha ya mtu iwe mbaya au nzuri ndio uhalisia wake. Kama ulikuwa na mchumba mlevi na ukakubali kuolewa nae ukifikiri ukishaolewa utamfanya aache ulevi umekosea.

Kama ulikuwa na mchumba wa matusi na ukaamini ukimuoa au kuolewa nae ataacha umekosea. Kama ulikuwa na mchumba malaya au kicheche ukakubali kuoa au kuolewa kwa fikra akiingia kwenye ndoa ataacha umekosea.

Hivi ni baadhi tu najua viko vingi ila jua tu mateso unayopitia sasa na mchumba wako basi usifikiri ukiolewa nae au kumuoa ataacha achilia mbali kupunguza.

Ni rahisi kuvunja uchumba, usijitese kwenye ndoa bana kama haeleweki na umedhamiria kuolewa nae au kumuoa epusha shari kabla ya shari kamili.
 
lindunduru

lindunduru

Senior Member
Joined
Aug 2, 2015
Messages
169
Likes
148
Points
60
lindunduru

lindunduru

Senior Member
Joined Aug 2, 2015
169 148 60
Wanasema tabia ni ni uhalisia wa maisha ya mtu iwe mbaya au nzuri ndio uhalisia wake
Kama ulikuwa na mchumba mlevi na ukakubali kuolewa nae ukifikiri ukishaolewa utamfanya aache ulevi umekosea
Kama ulikuwa na mchumba wa matusi na ukaamini ukimuoa au kuolewa nae ataacha umekosea
Kama ulikuwa na mchumba malaya au kicheche ukakubali kuoa au kuolewa kwa fikra akiingia kwenye ndoa ataacha umekosea

Hivi ni baadhi tu najua viko vingi ila jua tu mateso unayopitia sasa na mchumba wako basi usifikiri ukiolewa nae au kumuoa ataacha achilia mbali kupunguza

Ni rahisi kuvunja uchumba
Usijitese kwenye ndoa bana kama haeleweki na umedhamiria kuolewa nae au kumuoa epusha shari kabla ya shari kamili
Jana siyo leo bana
 
Mwifwa

Mwifwa

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2017
Messages
29,082
Likes
75,358
Points
280
Age
18
Mwifwa

Mwifwa

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2017
29,082 75,358 280
Very interesting....
 
H

highness long

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2017
Messages
360
Likes
370
Points
80
H

highness long

JF-Expert Member
Joined Sep 30, 2017
360 370 80
True
 
Oxx

Oxx

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2015
Messages
532
Likes
888
Points
180
Oxx

Oxx

JF-Expert Member
Joined Jul 12, 2015
532 888 180
Watu wanabadilika, ata ao unaowaona watulivu, watakatifu wanaeza badilika pia......

Uezi Amini shetani nae alikua ni malaika wa Mungu!
 
joanah

joanah

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2016
Messages
5,208
Likes
11,672
Points
280
joanah

joanah

JF-Expert Member
Joined Aug 14, 2016
5,208 11,672 280
Ni kweli..kama ameshindwa kubadilika katika uchumba ujue ndoa itakuwa ni maumivu kila siku
 
sergio 5

sergio 5

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2017
Messages
8,786
Likes
9,211
Points
280
sergio 5

sergio 5

JF-Expert Member
Joined May 22, 2017
8,786 9,211 280
Ajali kazini
 
Beira Boy

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Messages
13,962
Likes
13,906
Points
280
Age
21
Beira Boy

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2016
13,962 13,906 280
Umewaza mbali sana mkuu ngoja tu na mimi nimutose yule maza
 
eden kimario

eden kimario

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2015
Messages
9,047
Likes
14,180
Points
280
eden kimario

eden kimario

JF-Expert Member
Joined Jun 13, 2015
9,047 14,180 280
Watu wanabadilika, ata ao unaowaona watulivu, watakatifu wanaeza badilika pia......

Uezi Amini shetani nae alikua ni malaika wa Mungu!
Sijazungumzia utulivu bali tabia
 
Josze Zefania

Josze Zefania

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2017
Messages
1,363
Likes
913
Points
280
Josze Zefania

Josze Zefania

JF-Expert Member
Joined Mar 16, 2017
1,363 913 280
kwel haina haja
 
M

msmimi30

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2016
Messages
850
Likes
568
Points
180
M

msmimi30

JF-Expert Member
Joined Feb 24, 2016
850 568 180
kisa tu ndugu jamaa na marafiki nao wacheze kwaito akhuu kwa kweli furaha yako nayo ni muhimu mwanamke usiolewe tu kisa binadam wasikuite majina mabaya
 
fyddell

fyddell

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2011
Messages
2,560
Likes
1,354
Points
280
fyddell

fyddell

JF-Expert Member
Joined Dec 19, 2011
2,560 1,354 280
Wanasema tabia ni uhalisia wa maisha ya mtu iwe mbaya au nzuri ndio uhalisia wake. Kama ulikuwa na mchumba mlevi na ukakubali kuolewa nae ukifikiri ukishaolewa utamfanya aache ulevi umekosea.

Kama ulikuwa na mchumba wa matusi na ukaamini ukimuoa au kuolewa nae ataacha umekosea. Kama ulikuwa na mchumba malaya au kicheche ukakubali kuoa au kuolewa kwa fikra akiingia kwenye ndoa ataacha umekosea.

Hivi ni baadhi tu najua viko vingi ila jua tu mateso unayopitia sasa na mchumba wako basi usifikiri ukiolewa nae au kumuoa ataacha achilia mbali kupunguza.

Ni rahisi kuvunja uchumba, usijitese kwenye ndoa bana kama haeleweki na umedhamiria kuolewa nae au kumuoa epusha shari kabla ya shari kamili.
eden don't break people's heart for what might have happened on you. Things always change na tabia hubadirika either kwa kufuata ushauri wa mtu wako wa karibu, kuona mtu amepata madhara kwa tabia kama uliyonayo wewe au baada ya kupata tatizo lihusianalo na tabia husika.
Alafu kingine jua kuwa love is an intensive feeling over somebody that through a such unconditional feeling waweza usisikilize wala kujali lolote linalomhusu mchumba wako zaidi ya kutaka kureach the final life commitment which is marriage.
Don't be biased
 
L

lulu za uru

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2015
Messages
961
Likes
614
Points
180
L

lulu za uru

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2015
961 614 180
A
Watu wanabadilika, ata ao unaowaona watulivu, watakatifu wanaeza badilika pia......

Uezi Amini shetani nae alikua ni malaika wa Mungu!
Ata ao ......uezi kiswahili cha wapi hiki mkuu..
 
zizo12

zizo12

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2017
Messages
282
Likes
134
Points
60
zizo12

zizo12

JF-Expert Member
Joined Oct 8, 2017
282 134 60
Ni kweli..kama ameshindwa kubadilika katika uchumba ujue ndoa itakuwa ni maumivu kila siku
Hapana ni mtazamo tu ,ndo maana watu wanaokoka na tabia zinabadilika
 
Forum statistics

Threads 1,239,121
Members 476,369
Posts 29,343,328