Habari ya Jumapili,
Katika maisha tunayoishi watu wa aina mbalimbali wazee, watoto, vijana na kila na kila mmoja anapaswa kushirikiana na mwenzake katika mambo fulani fulani, ila linapokuja suala la upendo kuna wengine huwa najiuliza hivi kitu gani kinachosababisha mtu kuwa na chuki na mwenzake ukiangalia ndo kwanza wameonana siku ya kwanza na hawafahamiani,
Ni kitu gani kinachosababisha hii chuki kutokea