Mke wangu anataka kumrudisha Housegirl kwao ila sidhani atakayeletwa atakuwa mrembo zaidi ya huyu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mke wangu anataka kumrudisha Housegirl kwao ila sidhani atakayeletwa atakuwa mrembo zaidi ya huyu

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Michael Ngusa, Jan 11, 2016.

 1. Michael Ngusa

  Michael Ngusa JF-Expert Member

  #1
  Jan 11, 2016
  Joined: Aug 4, 2014
  Messages: 1,644
  Likes Received: 231
  Trophy Points: 145
  Habari wanadimba,

  Mke wangu amekuwa akimlalamikia sana housegirl wetu kuwa ni mvivu, wapangaji wanamlalamikia na kadhalika. Sasa anataka kumrudisha kwao. Wasiwasi wangu ni kwamba atakayeletwa asije kuwa ana sura ngumu...maaana mashallah huyu wa sasa mtoto kitu, japo bado dogo dogo na sina mpango nae lakini naenjoy kuwa na kitoto kitamu ndani. Sasa nifanyeje mke wangu asimrudishe kwao?

  Asanteni wanadimba.
   
  Last edited by a moderator: Jan 11, 2016
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Jan 11, 2016
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 78,282
  Likes Received: 40,525
  Trophy Points: 280
  Ingekuwa ni juu yangu ni ama ningepiga marufuku kabisa watu kuajiri hao wadada wasaidizi wa kazi au walau ningerasimisha hiyo ajira ili kuweka mazingira mazuri ya kulinda haki zao.

  Kamwe sitokuja kuajiri mdada wa kazi. Kazi zote nazifanya mwenyewe.
   
 3. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #3
  Jan 11, 2016
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,852
  Likes Received: 22,947
  Trophy Points: 280
  Si umwambie tu mkeo asimrudishe sababu ni mzuri na unamfurahia?
   
 4. dafity

  dafity JF-Expert Member

  #4
  Jan 11, 2016
  Joined: Aug 16, 2008
  Messages: 1,275
  Likes Received: 891
  Trophy Points: 280
  Kafuata kazi, sio kuja kukuonyesha sura. Kama unataka kuona sura nzuri nenda kwenye Beauty Contets
   
 5. G

  Gojaga Nize JF-Expert Member

  #5
  Jan 11, 2016
  Joined: Jul 1, 2015
  Messages: 2,740
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Jifanye umepandisha mashetani na utoe onyo kwa waifu asije mrudisha lasivyo makubwa yatampata. Ukimaliza zimia wakikupepelea zinduga then zuga umechooka hafu hujui kinachoendelea.

  Jey Mo style!!
   
 6. k

  kamagetac JF-Expert Member

  #6
  Jan 11, 2016
  Joined: Jul 25, 2014
  Messages: 2,472
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Mwambie amtafute mkali zaidi ya huyo ili uenjoy zaidi
   
 7. Mwasita Moja

  Mwasita Moja JF-Expert Member

  #7
  Jan 11, 2016
  Joined: Dec 31, 2015
  Messages: 2,908
  Likes Received: 2,555
  Trophy Points: 280
  Lowasaaa amekatwa tena
   
 8. peterchoka

  peterchoka JF-Expert Member

  #8
  Jan 11, 2016
  Joined: Oct 12, 2014
  Messages: 6,882
  Likes Received: 6,242
  Trophy Points: 280
  Oga Titus
   
 9. BansenBurner

  BansenBurner JF-Expert Member

  #9
  Jan 11, 2016
  Joined: Feb 16, 2015
  Messages: 6,852
  Likes Received: 4,375
  Trophy Points: 280
  Amna dimba hapa sio ground
   
 10. b

  biee JF-Expert Member

  #10
  Jan 11, 2016
  Joined: Apr 3, 2013
  Messages: 333
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  Duuuh...yaani nazid kupata hedek juu ya wanaume...dah ngumu kumesa. Why mpo hivo et??!
   
 11. naiman64

  naiman64 JF-Expert Member

  #11
  Jan 11, 2016
  Joined: Nov 22, 2013
  Messages: 4,269
  Likes Received: 1,763
  Trophy Points: 280
  Wasiwasi gani uliokuwa nao uliyekosa haya wewe, na ndio maana kaamua kumrudisha, tena wewe ndiye uliyefanya hicho kibinti kikaanza kiburi, wife akose amani kisa kukufurahisha. Tena aondoke tu
   
 12. Bwanshe56

  Bwanshe56 JF-Expert Member

  #12
  Jan 12, 2016
  Joined: Jan 25, 2015
  Messages: 2,114
  Likes Received: 777
  Trophy Points: 280
  Anzisha mgomo baridi...
   
 13. Nje ya Mada

  Nje ya Mada JF-Expert Member

  #13
  Jan 12, 2016
  Joined: Sep 30, 2015
  Messages: 1,416
  Likes Received: 326
  Trophy Points: 180
  Kwa sababu hatupo vile
   
 14. mtz daima

  mtz daima JF-Expert Member

  #14
  Jan 12, 2016
  Joined: Apr 15, 2015
  Messages: 1,577
  Likes Received: 347
  Trophy Points: 180
  Mfuate kabisa huko huko kijijini
   
 15. ruralofficer

  ruralofficer JF-Expert Member

  #15
  Jan 12, 2016
  Joined: Apr 4, 2014
  Messages: 1,187
  Likes Received: 1,218
  Trophy Points: 280
  Akimwambia hivyo atakua amedouble speed ya kufukuzwa huyo dada.
   
 16. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #16
  Jan 12, 2016
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 43,171
  Likes Received: 27,151
  Trophy Points: 280
  We kweli nje ya mada
   
 17. mbalizi1

  mbalizi1 JF-Expert Member

  #17
  Jan 12, 2016
  Joined: Dec 16, 2015
  Messages: 11,315
  Likes Received: 18,122
  Trophy Points: 280
  Muoe
   
 18. KikulachoChako

  KikulachoChako JF-Expert Member

  #18
  Jan 12, 2016
  Joined: Jul 21, 2013
  Messages: 14,842
  Likes Received: 13,477
  Trophy Points: 280
  Kuwa na baba wa familia wa dizaini hii ni bora ubaki yatima tu....
   
 19. Bavaria

  Bavaria JF-Expert Member

  #19
  Jan 12, 2016
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 44,691
  Likes Received: 12,210
  Trophy Points: 280
  Inawezekana huna hata huyo mke.

  Ni mama ako anataka kumrudisha mfanyakazi wake likizo..
   
 20. samtz1

  samtz1 JF-Expert Member

  #20
  Jan 12, 2016
  Joined: Nov 8, 2015
  Messages: 1,140
  Likes Received: 1,190
  Trophy Points: 280
  Umeongea kweli
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...