Ilikuwaje ulipokuta Condom kwenye mfuko wa mwenza (mke au mume)?

katoto kazuri

JF-Expert Member
Feb 10, 2018
6,083
5,659
Watu humu je hii hali imekutokea?

Mimi kwangu ndio nilikuwa namchumba ambaye nilikuwa naye serious kimapenzi ila kuna siku nafua nguo zetu kucheki mifuko nikakuta condom kobox kizima na risiti ya benki inaonyesha alitoa hela kiasi fulani akampee baada ya mchezo mbaya kipaketi kimefunguliwa na zimetumika tatu.

Nililia sana tu na nguo sikufua tena nilifua zangu na zilipokauka nikasepa kwetu bila ya kumuongelesha kitu chochote kwa maana hata sina hadhii.
 
wife alikuta ndom kwa nguo, alipouliza nikapata kigugumizi alianza kuropoka kwa uchungu sana nilikmya mda kisha ikabidi nijishushe kwa kumuomba samahan ilichukua siku 3 kunielewa, kwa sasa nipo makini sana hawez kuninasa
 
Shetani hakimbiwi mama bali hukemewa hadi anakimbia ulifanya kosa kumkimbia mchumba wako, rudi haraka kwa mchumba ukamkemee hadi alegee
 
Jamaa alikuta KY Jelly kwenye pochi ya mkewe, jamaa akazirai, na kuanzia hapo sukari na pressure vikamuandama Hadi mauti.
Acheni kuchungulia mapochi na simu za wake zenu mtapofuka macho
 
IMG_20200531_125617.jpg
IMG_20200531_125536.jpg
 
Koma mnachunguza chunguza sana!!!
Kazi yako hapo ni mapenzi na sio mpelelezi! Hivyo epuka kufanya mambo mengine yatakayopelekea upoteze kazi yako!!
 
Jamaa alikuta KY Jelly kwenye pochi ya mkewe, jamaa akazirai, na kuanzia hapo sukari na pressure vikamuandama Hadi mauti.
Acheni kuchungulia mapochi na simu za wake zenu mtapofuka macho
Yeye alizimia huku haja uliza nini kimetokea
 
wife alikuta ndom kwa nguo, alipouliza nikapata kigugumizi alianza kuropoka kwa uchungu sana nilikmya mda kisha ikabidi nijishushe kwa kumuomba samahan ilichukua siku 3 kunielewa, kwa sasa nipo makini sana hawez kuninasa
Poleee
 
Kuna watu wameumbwa kutumia "the main road"ndio maana wakichepuka wanasahau zana mifukoni plus kuna watu ni S.W.A.T haswa maana show zao ni balaa....ndg ukiona unakamatwakamatwa jua u aint born 4 this#obheja
 
Back
Top Bottom