Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 42 kutoka Nigeria aitwaye Consolata (sio jina lake halisi) aliandika kwenye mtandao wa kijamii, “Kabla ya leo, kuwa mhanga wa ukatili majumbali ilikuwa kitu...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna rafiki yangu mmoja analalamika kila akifanya ngono na mwanamke yeyote lazima akonde na jamaa ni mzima wa afya na ana watoto wa nje. Ila wanawake wanamwambia ana shahawa mbaya. Je, kuna...
0 Reactions
40 Replies
52K Views
Je, ikitokea umefikia kipindi katika mahusiano yako unaona mpenzi wako ameamua kuachana ni kitu gani utakifanya?
1 Reactions
35 Replies
4K Views
Fanta Baba yake alikuwa balozi, makazi yake yote alisoma kwenye shule za kimataifa. Kwa kuwa alikuwa na uwezo mkubwa darasani chuo kikuu alipata ufadhili Harvard Marekani kwa utaratibu wa shule...
5 Reactions
50 Replies
9K Views
At first kabisa nikiwa darasa la tano nilibongonyolewa na mwalimu wangu wa kiswahili mume wa mtu akanitema baada ya mke wake kushtukia mchezo. Nimeenda wee nikawa natoka na mmoja mume wa mtu pia...
8 Reactions
55 Replies
5K Views
1. Hajui Kupika 2. Unamtamani ila hauko tayari kuwa nae katika mahusiano ya kimapenzi 3. Unasikia raha /Unaenjoy zaidi kutoka out na marafiki zako kushinda yeye Kwangu hivyo ni vigumu sana...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari kwenu, Kama mapenzi yataboreshwa vyema kwa wanandoa hakuna mwanamke atakusaliti. 1. Hakikisha unafanya tendo la ndoa angalau mara tatu kwa wiki na kila ufanyapo hakikisha unamfikisha...
20 Reactions
72 Replies
20K Views
Nipo kwenye mapenzini na mwanamke mzuuri. Tunapendana sana, tatizo bado anahisi kuna vitu nambania. Anahisi simpi pendo lote ila najitahidi sana kumuonyesha. Je nifanyeje kumridhisha kiu yake ya...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Wasalaam Aleykum wakuu. Mimi ni mwanasheria wa kujitegemea, kwa kuzingatia kwamba nimefanya kazi hii ya sheria kwa vitendo kwa takribani miaka mitatu (3) sasa, nimebahatika kuandika kitabu chenye...
6 Reactions
21 Replies
4K Views
Courtesy of mito Mdada zingatia points hizi kama kweli unataka kupata mwanaume bora na si bora mwanaume. Responsible men are quite few, so you have to go extra miles to get him. Mara nyingi...
11 Reactions
72 Replies
8K Views
Naombeni kuuliza jamani, hivi kwanini wanawake Mwanaume akiteleza kidogo (sitetei maswala ya uchepukaji) mnakua na kichwa ngumu sana ya kusamehe na kusahau na mnalipiza kisasi kwa style mnayo ijua...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Nampenda sana mpezi wangu na kiukweli namheshimu sana, mtoto kaumbika kweli kweli, huwa sina utaratibu wa kushika simu yake kwa kweli sasa leo tulitoka lunch akaomba power bank yangu nimchajie...
6 Reactions
233 Replies
41K Views
Mtoto wa binamu yangu ambaye anaishi Dar, amepata mchumba mzaliwa wa Mbeya Tukuyu. Sasa alipangiwa mahali ya vitu pamoja na pesa taslim mil. 5. Wakati wanampangia hiyo milioni 5 ilikua ni kwa...
2 Reactions
38 Replies
4K Views
Utaratibu wa wasichana/wanawake kujifunza namna bora ya kusafisha pupu zao I'll kuondokana na magonjwa yatokanayo na Uchafu kama UTI
2 Reactions
86 Replies
11K Views
Ni mshkaji wa muda mrefu sana tokea tupo O Level then tukaenda pamoja A Level tulikuja kutengana baada ya kumaliza form 6 yeye alichagukiwa Ud mimi nilienda chuo cha uhasibu Arusha Huko chuga...
6 Reactions
37 Replies
4K Views
Lawrence Ripple, alienda kuiba benki, lakini baada ya kuiba aliendelea kubaki hapo akisubiri kukamatwa na Polisi. Alipokamatwa na kuhojiwa alidai ni bora akaishi jela kuliko kuendelea kuishi na...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Ni jioni tulivuuuu kabisa , baada ya mihangaiko ya hapa na pale ni muda sahihi wa kumshukuru Mungu kwa kuiona jioni hii salama kabisa Njoo tuzungumze, ukagundua mkeo/mumeo/mpenzi wako...
1 Reactions
40 Replies
4K Views
Sio maneno yangu ni maneno ya huyu Kaka anaeongea Sana 🙆🙆 Anasema Eti vijana Mapenzi jifunzeni Kwa wakubwa waliowatangulia Umri, sio mnaenda Google au Porn Hub Ila huyu Kaka anaongea balaa...
3 Reactions
28 Replies
3K Views
Habari zenu! Katika maisha ya kila siku ni kawaida kwetu sisi wanadamu kuwa na mahusiano na jinsia tofauti. Lakini pia katika mapenzi huwa malumbano ya hapa na pale hayakosekani. Naomba niende...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…