Mshkaji wangu amemuoa Ex wangu

Mshkaji wangu amemuoa Ex wangu

ndegemzungu

Member
Joined
Mar 10, 2019
Posts
92
Reaction score
248
Ni mshkaji wa muda mrefu sana tokea tupo O Level then tukaenda pamoja A Level tulikuja kutengana baada ya kumaliza form 6 yeye alichagukiwa Ud mimi nilienda chuo cha uhasibu Arusha

Huko chuga ndio nilipokutana na huyu manzi ambae kwa sasa ni mke halali wa mshkaji wangu, huyu manzi nilikuwa nimemtangulia mwaka mmoja tulianza mahusiano ambayo yalidum kwa takriban miaka mi2 hvi na zaidi sasa kwa kuwa nilikuwa nimepanga kitaa kuna tume huyu manzi nilikua naishi nae kama mke wangu ndani akija magetoni anaweza kuja akakaa hata semister nzima muhuni najipigia tu

Sasa ikaenda me nikamaliza masomo nikasepa mjini dsm kutafuta mochongo mingine manzi nikampotezea though sikua na future naye yoyote ile

Nikaja kupata mchongo nje ya nchi ambao ulinifanya bongo niwe nakuja kwa mwaka hata mara moja au mbili tena nakaa mwezi mmoja tu nasepa

Miezi 3 iliyopita mwana akanitumia sms anaoa sasa saport yangu ni muhimu sana nikamwambia asiwaze coz kutokana na ushakaji wetu saport yangu lazima ataipata tu, sasa nilishtuka siku moja baada ya kuview status ya mshkaji nakuta picha ya huyu manzi kutokana na caption aloyoiweka nikajua tu huyu ndio mtarajiwa wa mshkaji

Lakini baada ya mheshimiwa kuruhusu mikusanyiko ndio juzi naona kati naona status ya mshkaji akiwa amemuoa uyo ex wangu sikuweza kuhudhuria harusi yao kutokana na majukum yangu nje ya nchi ingawa nilishiriki financially

Najua nikirudi mwana lazima anikaribishe kwake sasa sihitaji kabsa huyu manzi ajie mimi na mshkaji ni marafiki ili kumuondolea hofu na kumfanya awe na amani ktk ndoa yake.

Najua mshkaji hana picha yangu hata moja coz huwa siposti picha zangu kwenye mitandao ya kijami kabsa,

Sasa najiuliza nimpotezee tu mshkaji kwa maslahi mapana ya ndoa yake
 
Duh jamaa kaoa mliwa kisamvu..sijui anaendeleza moto au ndo vile[emoji1][emoji16][emoji16]
 
Vipi kwa tathmini yako, amepata kifaa au kichomi?? Uzuri itakua rahisi kwako kupasha kiporo, nndio faida ndogo ndogo za Wazinzi
 
Cha kufanya we endelea kuishi tu hayo yaliyotokea ni kama wazamini ktk maisha yako..
 
Hujaeleza walijuana vipi? Au jamaa yako alikua anamjua manzi wako akaanza kumtongoza?
 
Vipi kwa tathmini yako, amepata kifaa au kichomi?? Uzuri itakua rahisi kwako kupasha kiporo, nndio faida ndogo ndogo za Wazinzi
Siwezi kupasha kiporo na uyo manzi ntajitaidi sana hata asijue mme wake na rafki yangu sitaenda kwao hata iweje akitaka na yeye asije kwangu poa tu

Sent from my SAMSUNG-SM-G935A using JamiiForums mobile app
 
Hiyo dhambi ya kumfanya mtu kinyume hiyo, Mungu anakuona.
 
Pole kwa maumivu rafiki yako kakuachia manyoya
 
Jajaniachia manyoya najua udhaifu wa yule ex wangu akiniona tu lazime anipe mzigo sasa kuavoid yte hayo ni kukaa mbali na tatzo

Sent from my SAMSUNG-SM-G935A using JamiiForums mobile app
Hata akikupa mzigo sio shida sikuhizi kuchepuka ni kawaida Bora rafiki yako kampa heshima ya mke ndo swala kubwa wewe ulimuona wa Nini mwenzako kachukua jumla
 
Kama unamheshimu mshikaji wako, pia heshimu na ndoa yao, ukizingatia bado changa usiende hata kwao.Acha walau wapate watoto 2 huko kama kutakua na ulazima wa kuwatembelea ndio waweza fanya hivyo, linda ndoa yao na ukizingatia wote hamna aliekusaliti mpaka kufikia wao kuoana
 
Back
Top Bottom