Ushauri wenu wakuu

Ushauri wenu wakuu

Zack Snyder

Member
Joined
Apr 13, 2020
Posts
83
Reaction score
297
Nipo kwenye mapenzini na mwanamke mzuuri. Tunapendana sana, tatizo bado anahisi kuna vitu nambania. Anahisi simpi pendo lote ila najitahidi sana kumuonyesha.

Je nifanyeje kumridhisha kiu yake ya penzi?
Mapenzi yanaongezwaje?
Nipeni mbinu mabaharia.

NB. Sio material things, she want more and more affections from Me. (Neither Money Nor Sex)
 
Mkuu asikuumize kichwa, huyo anataka attention mda wote, na ukimuwekea attention muda wote hutafanya maendeleo....Mzoeshe na hali uliyonayo na baada ya muda atakua sawa tu
 
Kuna mtu aliwahi kusema, too much of anything is harmful!

Niishie hapa kwa sasa.
 
Kuna mtu anaenda kufanywa msukule..😅
 
Pole mkuu kaanae muyajenge vzr

Na umuulize anahitaji Nini
 
Naongezaje penzi¿¿¿
Mkuu asikuumize kichwa, huyo anataka attention mda wote, na ukimuwekea attention muda wote hutafanya maendeleo....Mzoeshe na hali uliyonayo na baada ya muda atakua sawa tu
 
We jamaa yani umempa mapenzi yote na bado hatosheki na bado unasema hana shida na ela?


Aisee we sio mzima!
 
Kuna msemo mmoja hivi wa Paulo Coelho ni muhimu huyo mpenzi wako aujue. Huo msemo uko hivi;
"There are people who love us but don't know how to show it, and we understand their shyness as indifference"

"Kuna watu wanatupenda lakini hawajui namna bora ya kutuonesha mapenzi yao, na tunafikiri hawatujali kwa sababu ya aibu zao"

Mpenzi wako anatakiwa ajue kila mtu ana namna yake ya kupenda. Binadamu hatufanani kwenye mapenzi. Kinachomsumbua ni kukulinganisha wewe na wapenzi wake waliopita. Anafikiri jinsi alivyooneshwa mapenzi na wapenzi wake wa zamani ndio namna bora ya kupendwa bila kujua kuwa watu wako tofauti.

Unataka kujua cha kufanya? Usijali, mfanye ayajue haya niliyoandika.
 
Back
Top Bottom