Wanawake kwanini hamtuonei huruma wanaume?

Wanawake kwanini hamtuonei huruma wanaume?

jjs2017

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2019
Posts
2,027
Reaction score
4,316
Naombeni kuuliza jamani, hivi kwanini wanawake Mwanaume akiteleza kidogo (sitetei maswala ya uchepukaji) mnakua na kichwa ngumu sana ya kusamehe na kusahau na mnalipiza kisasi kwa style mnayo ijua nyie wenyewe (walio oa wanajua vizuri)?
 
Ushasema walio kwenye ndoa wanajua vizuri subiri ukiwa na mke majibu utayapata,.
 
Maswahibu gani yamekukuta Mkuu? Piga moyo konde, yote maisha; hasira zikimushia atakusamehe tu! Na hatalipiza kwa staili ya jino kwa jino. 😅 😅
 
Mkuu toka huko nyuma walikoraboreti na nyoka tukalishwa tunda.. huruma walishaivunja tokea hapo!.. sahivi tunaishinao kupambana na hali tena ukizubaa achana na huruma tu hata pepo hautaiona..😅
 
Nyie wenyewe hamjionei huruma, halafu sisi tuwahurumie?
 
Shekhe wewe...
Jiandae kwa mizigo 40 ya peponi
Hi ya duniani pasua kichwa.. mhhhh
"Alisikika shekhe kipozeo , akisema"
 
Mkuu, ebu usiwe mnyonge bana....
Mimi nineoa, na ukiacha kuteleza tu mimi huwa naanguka kabisa. Lakini sijawahi kuona ama kufahamu kwamba wife ananilipizia kisasi humu ndani.
Kwahiyo, usitusingizie tulio oa, jifunze kusimama kama mwanaume.
 
Back
Top Bottom