Ni kitu/vitu gani Vigumu kumwambia msichana/mwanamke?

el nino

JF-Expert Member
Nov 5, 2013
4,712
5,033
1. Hajui Kupika
2. Unamtamani ila hauko tayari kuwa nae katika mahusiano ya kimapenzi
3. Unasikia raha /Unaenjoy zaidi kutoka out na marafiki zako kushinda yeye

Kwangu hivyo ni vigumu sana kumwambia Mwanamke hasa hiyo namba 1, kila ukimwambia lazima uanzishe World War 3
 
Maisha katika ndoa au maisha na mwenza ni maisha yanayohitaji busara na hekima sana,
  • Kuvumiliana,
  • kurekebishana au kufahamishana katika njia iliyo bora na salama zaidi,
  • Kukubali kosa unapokosolewa na kulirekebisha ili lisitokee tena,.......
  • Na mwisho kabisa ni kusameheana ili maisha yasonge mbele.
 
Kweli
 
1. Hajui Kupika
2. Unamtamani ila hauko tayari kuwa nae katika mahusiano ya kimapenzi
3. Unasikia raha /Unaenjoy zaidi kutoka out na marafiki zako kushinda yeye

Kwangu hivyo ni vigumu sana kumwambia Mwanamke hasa hiyo namba 1 kila ukimwambia lazima uanzishe World War 3
Kumwomba hela.
 
Kumwambia

1. Ananuka mdomo

2. Miundombinu mibovu

3. Humpendi na unataka tu k yake

4. Aache kukupiga piga mizinga
 
Back
Top Bottom