Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

TUELEWANE MAPEMA, MAMBO MUHIMU. 1.Mtoto wangu hachezi na watoto wa kihuni mitaan na akienda kijijini ni nje kidogo ya mji na ndiko nlipokulia, watoto anaocheza nao wengi walezi wao nawajua...
81 Reactions
121 Replies
15K Views
Wadau nimekutana na mzungu kwa njia ya mtandao. Anaishi Marekani. Sasa ananiomba nimtumie Amazon Gift card. Nime Google hii kadi sielewi vizuri. Pia naona kama ya kununua kwa dola. Je, huyu...
2 Reactions
37 Replies
5K Views
Wapo waliofanikiwa na kufarijiwa kwenye shida na ndugu zao na pia wapo waliofanikiwa na kufarijiwa na wake/waume zao pale walipokutana na changamoto za hapa na pale. Na pia wapo wengine...
3 Reactions
88 Replies
6K Views
Rehema na Mussa ni binamu, Baba Mussa na Mama Rehema ni mtu na kaka yake walizaliwa mapacha, kwa tamaa zao za mwili Rehema na Mussa wakajikuta wameingia kwenye mahusiano ya kimapenzi, baada ya...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Now days hakuna true love. Mapenzi yamekuwa yakijikita upande mmoja Ingekua fresh endapo watu wangekuwa wanamatch na wanapendana bila jitihada zozote. Lakini sikuizi wavulana wanatumia jitihada...
1 Reactions
3 Replies
783 Views
Habari wakuu, Kwa kifupi naishi mkoa tofauti na mke wangu kwa sababu za kikazi, sasa katika pitapita zangu kapatikana mtoto. Wife bado hajajua chochote kwa sababu hakai sana hapa ila najua kwa...
9 Reactions
144 Replies
17K Views
1. Ukiona mpenzi wako hawezi kufanya mapenzi na wewe bila kuangalia picha za ngono ili avute stimu/hamu huyo achana naye. Yaani wewe humvutii wala hana hisia za kimapenzi na wewe ndio maana...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Salute MMU members Wiki iliyopita nilikuwa nauza Duka la Dawa(Pharmacy) sehemu moja hapa katika jiji pendwa la Mkoromije. Katika taaluma ya Ufamasia kuna kitu kinaitwa ''Good Dispensing...
15 Reactions
206 Replies
46K Views
Nina na mahusiano na mwanamke mmoja ambaye anaishi mtaa wa jirani ambapo tumedumu kwenye mahusiano kwa takribani mwaka mmoja na nusu, baada ya kuwa nae kwa miezi kadhaa tukatokea kuaminiana na...
10 Reactions
120 Replies
14K Views
Nilikuwa na demu ambaye nilikaa naye kwa kipindi cha miaka 6 kwenye uchumba, na kipindi chote hicho nilikuwa kwenye mapambano makali ya kutafuta pesa lakini mambo hayakuwa vizuri Sana. Sasa...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Watoto waliozaliwa tumbo moja wakiwa wadogo huwa wana mshikamano na wanakuwa na upendo ila sasa wakikua na kila mmoja akawa na mji wake ndipo changamoto zinapoanzia. Ule upendo wa utotoni upotea...
9 Reactions
113 Replies
8K Views
Nifanyeje ili niweze kupata marafiki wa kwenye shida na raha; kwa sababu naona wengi ni vimeo tu. Unakuta huyu yupo kwa sababu fulani, na mwanzo ni vigumu kujua kama ni rafiki wa kweli au laa, ila...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Habari zenu wanajukwaa hiki kisa ni kweli. hapa kazini alikuja staff mpya msichana mmoja mrembo sana. kiasi siku ya kwanza namuona tu ikaanza spidi ya kumfukuzia mimi na staff wenzangu hapa...
2 Reactions
67 Replies
6K Views
Siku ya jana nikiwa sehem yangu ya kazi, nikiwa nimepumzika nilipata nafasi ya kuongea na mdada flani ambae tunafanya nae kazi. Yalikua ni mazungumzo ambayo kwa kiasi flani yalinifungua akili...
13 Reactions
149 Replies
13K Views
Hello Guys, Katika maisha ya sasa (sijui huko nyuma) kuwa na marafiki wanaoleweka namaanisha wenye uchumi wa kati na wajuu kama wewe ni hohe hahe ni ngumu sana kujoin na watu kama hawa, utaishia...
1 Reactions
20 Replies
1K Views
Mwaka mmoja uliopita ilinilazimu kufanya shoo ili nijipatie pesa. Nilipomaliza kupafomu nikiwa natoka ukumbini kuelekea nyumbani kumbe nyuma yangu kulikuwa na Mrembo akinifuatilia tokea nlipokuwa...
3 Reactions
102 Replies
15K Views
Wakuu heshima kwenu. Mimi kama kijana Mtanzania tena rijali kabisa naona naangamia kabisa kwa hili linaloendelea kunitokea katika maisha yangu. Naombeni msaada wenu wana JF wenzangu nahisi kuna...
2 Reactions
115 Replies
9K Views
Mwaka 1998 nlikuwa nmempenda dada mmoja ambaye alikuwa ni mtoto wa rafiki yake mama yangu. alikuw mzuri sana yule mtoto halafu kwao mambo safi ndo mtoto pekee wa kike nlimpenda sana yule dada kwa...
54 Reactions
159 Replies
18K Views
Binafsi nina mke ila hili swali nimelikuta huko jukwaa lingine la kimombo nimeona nilete humu kuongezana maarifa Ni maswali yanayoonekana ni ya kipuuzi ila yana umuhimu kujua. Mida ya usiku wa...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Katika miaka ya hivi karibuni malumbano ndani ya nyumba zetu yameshika hatamu. Tumeshuhudia tabia iliyozoeleka kwa wazazi - baba na mama wakipigana, kurushiana maneno, matusi na kadhalika mbele ya...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…