Nahisi nina tatizo kubwa sana

monta

JF-Expert Member
May 6, 2014
1,125
1,459
Wakuu heshima kwenu. Mimi kama kijana Mtanzania tena rijali kabisa naona naangamia kabisa kwa hili linaloendelea kunitokea katika maisha yangu. Naombeni msaada wenu wana JF wenzangu nahisi kuna mtu nyuma yangu ashafanya yake

Iko hivi, kwa kipindi cha miaka miwili mitatu hapo nyuma mpaka sana nilifanikiwa kudate na wasichana si chini ya 20 yani serious relationship sio onenight stand.
 
Wakuu heshima kwenu.Mimi kama kijana Mtanzania tena rijali kabisa naona naangamia kabisa kwa hili linaloendelea kunitokea katika maisha yangu,Naombeni msaada wenu wana JF wenzangu.

Iko hivi,kwa kipindi cha miaka miwili mitatu hapo nyuma mpaka sana nilifanikiwa kudate na wasichana si chini ya 20 yani serious relationship sio onenight stand.Katika hao wasichana wote kumekua na tatizo linajitokeza pale ninapotaka kufanya mapenzi yaani ku engage in sexual intercourse.Mfano tukiwa chumbani tumevua kila kitu fresh na kuandaana vya kutosha ile nataka tu nipeleke dushe kwenye k demu anakua mkali na hataki tena,na wakati mwingine hata kumuaandaa anakua mkali.Na hata tukifanya nafanya tu ile kama nabaka yani anakua kama analazimishwa.Wawili kati yao niliwapa ujauzito kwahiyo kipindi wanaendelea kuwa na khali hiyo nikajua labda ni kwasababu ya ujauzito ni kawaida Cha ajabu wasichana wote wapo hivo kila tukifika kwenye sex.Tena wakati mwingine hata hilo tendo linaweza lisifanyike anakua mkali ghafla na anavaa nguo zake.Juzi kushinda jana nilikua na msichana mwingine ambaye ni mara ya pili kusex nae ya kwanza hakuleta shida hiyo yapata kama wiki hivi imepita.Asa juzi ya pili tumefika room fresh tumeoga tukaanza foreplay kabla ya mchezo.Ghafla akabadilika hataki tena akasema vaa nguo basi na yeye akajifunika khanga yake.Kiukweli mood yote ilikata nikaijiona kabisa nina tatizo linaniandama ilikhali kimuonekano niko poa msichana ni ngumu sana kuruka na kitandani niko vizuri sio mchovu maana nafanya sana mazoezi na ninazingatia lishe bora ya libido.Tafadhalini wakuu naombeni msaada wenu tatizo ni nini kila nikitaka kufanya mapenzi mpenzi wangu anakua mkali sana ama niseme napoteza hisia mbele yake.Je!ni kawaida kwa kila mwanaume rijali ama mimi nina kasoro gani!Naomba msaada wenu jinsi ya kutatua tatizo hili.

Bora wewe umeona kuna wajibu wa kujitathmini, jaribu kuangalia inawezekana ukiwa kwenye fore play unakuwa haupo romantic au una tatizo linalopeperusha stimu wenzio kama harufu, kovu, ulemavu, ugonjwa, etc
 
Nmefosi kukuelewa lkn kam inakuj inakataa,km hujafunguka vzuri iv,em jichunguze mzee lbda kuna kitu apo kinawafanya wapoteze hisia maan inawezekanaje ghafl tu ndo iwe ivo.
 
Mkuu vyote nimevitathimini sijaona tatizo,halafu haiwezekani almost wote iwe hivo
 
Nmefosi kukuelewa lkn kam inakuj inakataa,km hujafunguka vzuri iv,em jichunguze mzee lbda kuna kitu apo kinawafanya wapoteze hisia maan inawezekanaje ghafl tu ndo iwe ivo.
Mzee niko vizuri sana naamini hilo,zamani hiyo khali haikuaga hvo nahisi kuna mtu nyuma yangu
 
mkuu uchawi upo sana na kama huamini ipo day utaamini, mtizamo wangu inawezekana kuna mtu amekuzunguka kiuswaili yaani mademu wote wazingue vp lakini uko nyuma ushawai kuzinguana na demu yeyote? tuanzie hapo
 
Naamini upo maana nishasumbuliwa sana na wachawi hasa babu yangu..Kuzinguana na mademu kawaida mkuu
 
Naamini upo maana nishasumbuliwa sana na wachawi hasa babu yangu..Kuzinguana na mademu kawaida mkuu
ok mkuu jiongeze kabla tatizo halijakuwa kubwa kuna mtu amekufanyia kitu mwisho wa siku hata kutongoza utashindwa
 
Back
Top Bottom