zagarinojo
JF-Expert Member
- Jul 26, 2020
- 2,622
- 2,865
Now days hakuna true love. Mapenzi yamekuwa yakijikita upande mmoja
Ingekua fresh endapo watu wangekuwa wanamatch na wanapendana bila jitihada zozote. Lakini sikuizi wavulana wanatumia jitihada kubwa kwa kuwatongoza na kuwa ving'ang'anizi ili wawe penzini lakini hata wasichana wamekuwa wakitumia nao pia jitihada kubwa kupata wawapendao.
Pasipo kujua love comes at unexpected time and with no effort. Nowdays ni MTU anakaa tu then anasema ngoja nitafute demu harakati zinaanza
Muache kupanga kupenda.