Mzungu ananiomba nimtumie Amazon Gift Card. Nielekezeni tafadhali

Freed Freed

JF-Expert Member
Jun 27, 2017
6,230
6,469
Wadau nimekutana na mzungu kwa njia ya mtandao. Anaishi Marekani. Sasa ananiomba nimtumie Amazon Gift card. Nime Google hii kadi sielewi vizuri. Pia naona kama ya kununua kwa dola.

Je, huyu mzungu anamaanisha nini kuomba kadi ya gharama? Msaada na ushauri wako muhimu.
 
Unatapeliwa
Unamtumia hiyoo giftcard ana exchange hiyo giftcard to bitcoins
Then Bitcoins to cash!!
Simple tuuu!!
Haina tofauti na kukuomba hela!!
So amekuomba hela indirect way!!
Huyo atakuwa mghana, mnigeria au mhindi!!

Nicheck nikutumie link,
Akidhubutu
Akigusa hiyo link, utapata ipadress yake, device anayotumia etc
Hata kama anatumia vpn
 
Wadau nimekutana na mzungu kwa njia ya mtandao. Anaishi Marekani. Sasa ananiomba nimtumie Amazon Gift card. Nime Google hii kadi sielewi vizuri. Pia naona kama ya kununua kwa dola.

Je, huyu mzungu anamaanisha nini kuomba kadi ya gharama? Msaada na ushauri wako muhimu.
Hivi nyie watu bado mpo? Hao ni scammers moja ya njia yao ni kuomba amazon gift cards, mbona mnatapeliwa kirahisi? Huyo huenda hata siyo mzungu ni akina Oga. Mzungu gani kamaamekupenda anakuomba zawadi na kukupangia aina ya zawadi ya kumtumia. Uwe unashirikisha akili yako.
 
Sio makalio...!
 
Wahuni hoa wa kinaigelia kuna kisa bhana cha mwaka Jana cha demu alikuwa ni msenegal na nini akadai kuwa yeye ni yatima yupo kambi ya walinzi wa usalama kutokana na machafuko ya nchini kwao nanini akadai baba ake amemwachia dola milioni 10 akadai kwa sheria ya kule hawawezi kutoka hiyo hela yote akaniomba nimtumie vitambulisho vyangu na ananipenda sana ili aonge na WAKILI wake afanye kitu kinachoitwa next of kin maana ake mwanasheria akadhibitishe mahakami kuruhu kutolewa hichi kiasi cha pesa kwahiyo nilichokuwa nataka kufanya nimtumie kama kiasi cha lakini 3 anitengeneze kadi na kutumiwa kupitia DHL ILI nizitoe zile hela .......
 
Back
Top Bottom