Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nimepata neema ya kuanza kufundisha juu ya matatizo ya kiroho na mungu amenifunulia haya na kunionyesha uhitaji wa wengi juu ya hili na jana nilianza kufundisha juu ya ndoto nitaendelea kufundisha...
6 Reactions
15 Replies
5K Views
1.unakuwa sio rafiki wa Mungu utaona aibu kumdhalilisha Mungu kwenda naye kinyume na mpango wake aliobuni kwa viumbe wake jinsia ya kike na kiume so unakuwa sio mchaMunguMungu 3.hutaenda mbinguni...
4 Reactions
66 Replies
17K Views
Natafuta rafiki wa kike ambae huenda baadae akawa mke wangu. Sifa zangu ni: 1. Mtaratibu 2. Mkarimu 3.Mrefu wastani 4.Mwenye ya mungu 5.Mwenye heshima na upendo 6.Umri wangu miaka 23 Awe...
0 Reactions
2K Replies
176K Views
Usitoke 'out' au sehemu yoyote ya kupata chakula au vinywaji ukiwa na rafiki/marafiki bila kuwa na salio lolote mfukoni na usiagize vinywaji au vyakula vinavyozidi salio ulilonalo mfukoni. Kuna...
6 Reactions
26 Replies
2K Views
Guys habari zenu, Tangu nimejiariwa hapa kazini nimekua na urafiki na boss wangu na ndie alienileta hapa kazini, sina mapenzi nae kutoka moyoni, ni sababu ya hii kazi ndio maana nipo nae...
4 Reactions
228 Replies
18K Views
Naitwa frank natafuta rafiki wa kuchat nae 0672759998 email; frankmoll61@gmail.com
0 Reactions
2 Replies
1K Views
[emoji120][emoji120]
10 Reactions
104 Replies
7K Views
Wasalaam, Binafsi niliwatokea wasichana kama watatu hivi na wote waliwaambia mama zao mahusiano yangu na yao ni suala la aibu sana kwa sisi wazee wa kupiga tuu (hit and run). Nilikua najisikia...
0 Reactions
4 Replies
984 Views
*MADA* Daniel, ni kijana mwenye umri wa miaka 34 alijaaliwa kumwoa Martha miaka minane iliyopita, na wamebarikiwa kupata watoto watatu wakiume mmoja na wa kike wawili. Kwa kipindi cha miezi kumi...
4 Reactions
68 Replies
9K Views
Mtu wangu anapenda sana vazi la dera; akitoka ni dera tu na mara chache ni sketi au gauni.....anasema kanga au kitenge haviwezi kuvaa kwa maana hajavizoea na huwa vinampa shida sana anapovaa...
5 Reactions
67 Replies
9K Views
Habari wadau Jamani naomba mnishauri kuhusiana na haya mahusiano yangu kwani ni zaidi ya mwaka sasa bila kuyaelewa. Binafsi Mimi naishi Kenya ila kwetu ni Tanzania. Ilikuwa ni mwaka jana...
8 Reactions
123 Replies
9K Views
Ndugu zangu wana JF baada ya kufatilia mwenendo wa mpenzi kitabia nimegundua yupo katika hatua ya kuniacha Ili aendelee na maisha yake. Mwanzoni nilidhani mgogoro wetu licha ya kumuonesha najutia...
2 Reactions
27 Replies
5K Views
Wasalaaam. Ukijua ulikotokea unaweza husianisha ulipo na kupanga unapoenda, ili ujue unapiga hatua au unazunguka tu. Tangu zaman na hata sas, kuna desturi ya binadamu kufanya ushirika na roho au...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nianze kwa kuwatakieni afya njema wakuu. Leo tuchambue upande mwingine wa mahusiano, nao ni nguvu aliyonayo mwanamume ambayo leo hii anaikabidhi kikondoo kwa mwanamke. Kwa wale ambao mtakwazwa na...
7 Reactions
16 Replies
2K Views
Mtu anapoanzisha mahusiano ya kimahaba na mtu wake ni wazi huwa kuna vitu vina mvutia lakini anapozidi kuwa naye karibu zaidi basi anapata wasaha wakuvifahamu vingi zaidi toka kwa soul mate wake...
8 Reactions
77 Replies
7K Views
Za leo wadau! Natumai jumaapili inakwenda swadakta kwenu wote. Nianze moja kwa moja na hili swala lililonitokea wiki iliyopita. Wiki iliyopita nilipanga safari ya kwenda kumtembelea mjomba wangu...
5 Reactions
38 Replies
8K Views
Ndugu zangu, habari zenu? Leo nataka nizungumzie hili suala wanaume kuchepuka na kuona kama wake zenu wanachukulia kawaida au wanafurahi, mnajidanganya sana aisee, yaan mtambue kwamba kadri...
0 Reactions
36 Replies
5K Views
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 27 na mrefu. Rangi- Mweupe Elimu- Diploma ya ICT na Degree ya Sheria Nipo serious nahitaji msichana/mwanamke serious ambaye yupo tayari kuanzisha mahusiano...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wake wamekuwa wabahili kuwapa waume zao mapenzi motomoto. Wanaume wengi huishia kupewa staili moja au mbili na kufikia hitimisho. Ndio maana kuchepuka hakuishi, imefikia hatua kwa mwanamke kuamini...
1 Reactions
1 Replies
767 Views
Wakuu kuna wadada hujitia misimamo tunapowahitajia but wanaume kama tumemuelewa mwanamke huwa hatukubali kushindwa kirahisi. Kuna mrembo niliwahi mwelewa miaka ya nyuma, nikamweleza zaidi ya mara...
7 Reactions
46 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…