20PROFF
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 8,217
- 7,263
Wasalaaam. Ukijua ulikotokea unaweza husianisha ulipo na kupanga unapoenda, ili ujue unapiga hatua au unazunguka tu.
Tangu zaman na hata sas, kuna desturi ya binadamu kufanya ushirika na roho au viumbe walio wazidi maarifa ,nguvu, ustadi ili kufaidika au kuweza kupata nguvu ya kutawala mazingira yao na kuishi kwa amani. Ndio,maana pale tunapo kuwa na kitu tunaenda kusaka msaada kwenye maarifa au nguvu zaidi, yaweza kuwa MUNGU,Miungu, mizimu,uchawi ama uganga.
Lakini hao, walio tuzidi hufaidika nn wanapotoa msaada?? Ni topic ndefu na pana kidgo, ina changamoto nyingi,lakini Kutaka Kutawala jamii hiyo, kupewe Ukuu,kuabudiwa au kusikizwa. Utii wa binadamu kwao, huonekan pale wanapoweka sheria na binadamu kuzifata. Kama usile hiki, toen sadaka, abudu siku fulani kwa mtindo gani nk.
Ili taifa kuonyesha umiliki wa Himaya fulani, ishara hutumika kama Bendera, nembo za taifa ,mavazi ya taifa hilo,kuwa kilisha hapa kuna uongozi flan ,ilia mataifa yasiingiliane, kifupi Ishara huonyesha mipaka ya kiutawala. Hivi ndivyo rohoni, napo huwekwa ishara, ktk majiji na hata miji kuonyesha umiliki wa ROHO flan, itatumika MASANAMU, SHEREHE FLAN,IBADA, SADAKA NK.
Huyu Wa leo, ni Moleki, ambaye kihistoria alikuwa akiabudiwa tangu kale, miongon mwa marafiki wa miungu ya Baal.Hujengewa sanamu, kuubwa na chini ya hilo sanamu, moto huwashwa na sadaka za kuteketeza kutupwa humu,kama njia ya kumuabudu, kuonyesha utiifu,na kupata ulinzi na baraka zake. Mataifa mengi walikuwa wakitoa sadaka hapo ili wasiuawe. Sadaka ni kitu kikubwa sana, MOYO WAKO ULIPO NDIPO ILIPO HAZINA YAKO, Sadaka inaongea na kukunganisha na huyo unaye mpa, so unakuwa upo connected naye muda wote, sadaka yako itaomgea hata kama wewe ukiwa kimya, SWALI UNATOA WAPI NA KUUNGANA NA NANI??
Huyu jamaa yeye alikuwa akipewa sadaka za watoto, yaani watoto waliuwa au kuchomwa kama sadaka za watoto. Hizi kafara zilitolewa kumpa Moleki ambapo MUNGU alikataza hii kitu, Ukisoma vitabu kidgo, hapa natumia Bible kama Reference utaweza kuona huyu jamaa.
Walawi 18: 21, 20: 2- 5. Utaweza kuona kiwango flani.
Ustaarabu wa kidunia umebadilika sana, since YESU alivyokuja, kulikue na mapinduzi mengi sana ya namna ya kuabudu,na ushirika wa hizi roho. Sasa inakuja kuchukua nafas zao kama ilivyokuwa, lakini hawaji kwa waziwazi,isipokuwa kuwa wateule wao.
Kama wale wanaoend kwa waganga na kutoa kafara za watot wapate mali n fedha. Lakini kwa wengine mambo ufanyika indirectly unakuwa unatoa sadaka zako kwake, bila kujijua na kuwa mtumishi wake bila kuelewa. So, sadaka yako,itaomgea badala yako, utaiuza nafsi yako, utakuta hata ndoto zako, unaota upo mahala ambapo hauishi wala nn, tambua indirectly kuna mahala una milikiwa.
Kama tulivyoona kwa ustadi,na usiri,dildo zilivyotumika kuingiza miunga ya kale ktk maisha ya sasa ,ndivyo ilivyo mbinu mpya inayo tumika ni Abortion.
Hapa tuliongelea kuhusu dildo n miungu
https://www.jamiiforums.com/threads/dildo-and-gods-miungu.865348/#post-12975320
Imeingizw kiustarabu, na kwa kiustadi,inaonekan ni jambo la kawaida kabisa kwa jamiii ya sasa. Yote ni kuhakikish kuna kuwa na waumin wengi wa hiii roho. Kama uliwahi kutoa mimba ,basi tambua Uliimpa huyu jamaa sadaka yako na una muunganiko naye, ana nguvu ya kufanya kitu kwako na ana uhalali.
Kuhakiksh wengi wanatoa sadaka kwa huyu jamaa, hata zoez la utoaj mimba limewekwa kwa urahisi sana, JUST, EASY KUPATIKAN VIDONGE ,UNAMEZA DAMU ZINATOKA BASI.
Nadhani kama wewe ni muhenga wa mtandao, utakumbuka,kuna kipindi, Ilikuja mesej flan ktk mitandao ya Simu, Ukiforwad ile meseji UNATAPA DK, MB, SMS ZA KUTOSHA. Watu wakaone kama dili, au mitandao imejisahau nan kasema?? Na meseji ile ilikuwa ni ku promote dawa za utoaji mimba zijulikane kwa watu wengi, ambayo ni zana muhim kwa utoaji wa sadaka hiyo.
Meseji hiyo ilitaja vidonge vingi, ambavyo kwa sasa vmekuwa maarufu sana., Sijui kama unakumbuka hiii, Nataman kengele ilie kichwani ushtuke.
Ukiwa doct,mchumba, mdada au yeoyte ulishikiriki kusawish au kushauri utoaji mimba, umeshiriki utoaji wa Sadaka hiii. Nenda kalie kwa MUNGU akusamehe, maana unapo kaza ,unaweza jikuta unabarikiwa na MUNGU kumbe hata, ni yule Moleki uliewahi kumpa sadaka yako, miaka miwili iliyopita,n bado unaenda kanisani au msikitin kama kawaida, unajua ni matunda ya Swala kumbe hata siio.
#tubu jitenganishe na hii sadaka, mapema.